Dkt. Slaa mwanasiasa mkorofi, mjuaji , msaliti na asiye na shukrani. Katubu kwa mamlaka husika vinginevyo mikosi itaendelea kukuandama siku zote

Wadau hamjamboni nyote?

Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana!

Ukweli ni kuwa

Dkt Slaa ni miongoni mwa binadamu wanaoongoza kukosa kabisa shukrani kwa fadhila alizopewa. Kila sehemu anayokaribishwa na kufadhiliwa lazima avuruge mambo, sijui yukoje huyu binadamu!

Dkt Slaa aliamua kusaliti kiapo cha upadre na badala yake akaamua kuasi na kisha kukimbilia raha za duniani kwa kuamua kuoa!

Dkt. Slaa yaani uliaminiwa na Kanisa na kuteuliwa kuwa Katibu baraza la maaskofu Katoliki Tanzania lakini kwa kukosa fadhila ukaamua kuasi!

Dkt. Slaa uliamua kuisaliti CHADEMA kwa njia ya kuichafua tena kipindi muhimu sana cha uchaguzi Mkuu wa Rais na kwa jeuri ukakikimbilia Chama Cha Mapinduzi.

Dkt. Slaa umesahau kuwa chadema ndiyo ilikulea, kukukuza, kukukomaza na kukupa umaarufu na sifa kubwa kwenye jamii lakini yote hayo ukaona upuuzi ukaamua kusaliti kambi

Dkt. Slaa ulifadhiliwa na Serikali ya CCM kwa kupokelewa, kupewa heshima, ulinzi na kisha kupewa uteuzi kuwa Balozi nchini Sweden.

Dkt. Slaa kabla ya kupewa uteuzi ulikuwa umechokaaa, ukidharaulika na hakuna aliyekuthamini!

Dkt. Slaa kama kawaida yako yote hayo umesahau ukaamua kwa makusudi kumgeuka mfadhili wako!

Dkt. Slaa mikosi inayokuandama kila kukicha ni matokeo ya uasi, usaliti na roho ya kukosa shukrani.

Dkt. Slaa nakushauri ifuatavyo:

Shuka chini rudi Kanisani ukatubu kwa Mungu wako, nenda Serikarini ukaombe radhi na rudi CHADEMA ukaombe msamaha
Huyu alisaliti Hadi kabisa 😂😂
 
Njaa inamsumbua
 
Back
Top Bottom