Dkt. Slaa mwanasiasa mkorofi, mjuaji , msaliti na asiye na shukrani. Katubu kwa mamlaka husika vinginevyo mikosi itaendelea kukuandama siku zote

Alipinga fisadi kuja chadema alafu akaenda kujiunga kwenye chama kilicho jaa na kufuga mafisadi,huo ndo msimamo gani?
Dr. Slaa hakujiunga na CCM, ile ni kazi kama nyingine wewe mwenyewe usikute ni muajiriwa wa Serikali alafu unamsema Dr Slaa, na wafanyakazi wote wa Serikali mpo kutekeleza ilani ya CCM. Na humu wengi tu wanaokosoa ni watumishi wa Serikali ya CCM, je waache kazi na wao sababu ya kujiunga na Serikali ya CCM?
 
Kuna hoja kaongea mtoa post nikabaki mdomo wazi yaani mimi ndio Dr slaa nikiacha upadre nikaenda kwenye maslai yangu mimi Kama binadam wa kawaida nikatafuta familia na kuwa msalit? Hivi ni Mungu gani atanihukumu Kwa mimi kujitafutia familia? Lowassa alikuwa Fisadi ndani ya CCM Fisadi kahamia chadema mimi Kama Dr nikionyesha msimamo wangu Kwa kirud CCM chama changu cha zamani na kuwa msalit?
 
Msimamo upi alionao hasa? Kuachana na chadema na kujiunga na Serikali ya CCM na kisha kukubali uteuzi? Huo ndiyo msimamo?!
Hivi unajua kuwa ubalozi ni "Civil service" ambayo hata mtu asiyekuwa na chama kama mimi anaweza kuteuliwa?
Muwe mnajielewesha kwanza kabla ya kudandia treni kwa mbele!
 
Asante kwa kusaidia kuwaelewesha hawa nyumbu. Nyumbu ni viumbe wa ajabu sana. Wanashadadia mambo ambayo hata hawayaelewi.
 
Ana miaka mingapi huyu Mzee?
Toka nimeanza kumsikia huyu dingi enzi za kina Padri Karugendo. Aisee
 
Atahukumiwa kukiuka kiapo chake cha ukasisi
 
Hivi unajua kuwa ubalozi ni "Civil service" ambayo hata mtu asiyekuwa na chama kama mimi anaweza kuteuliwa?
Muwe mnajielewesha kwanza kabla ya kudandia treni kwa mbele!
Anayeteua ni Mwenyekiti wa CCM aliye Rais pia.
Hoja ni kuwa unakubali vipi uteuzi wa Serikali uliyodai haikuingia madarakani kihalali?
 
Kwahiyo hapo ilipo mnamkomoa maana mlimfadhili ubalozi kisha hataki kuwasifia bali anawasakama? Naona umewataja na cdm humo ndani ili kutupoteza maboya ya lengo lako.
 
Anayeteua ni Mwenyekiti wa CCM aliye Rais pia.
Hoja ni kuwa unakubali vipi uteuzi wa Serikali uliyodai haikuingia madarakani kihalali?
Nataka nione CHADEMA wasidai ruzuku za Serikali ya CCM, na wewe na ndugu zako isitokee mkafanya kazi yoyote ile ya Serikali ambayo inaongozwa na CCM.
 
Huyu ni mwana CCM na ni balozi mstaafu Huko aliko mwenda zake atakuwa anasikitika Sana Kwa jinsi mnavyomnyanyasa balozi
 
Acha ujinga dogo, wakati Magufuli anaingia madarakani Slaa alikuwa ameshaondoka cdm tena kwa jazba kubwa, na alifurahi sana kitendo cha UKAWA kushindwa na Magufuli. Kama hili hujui huoni mengine yote unaoongea kwenye uzi wako ni utoto wa kupuuzwa?
 
Hivi Josephine yuko wapi siku hizi naona yuko kimya
 
Acha ujinga dogo, wakati Magufuli anaingia madarakani Slaa alikuwa ameshaondoka cdm tena kwa jazba kubwa, na alifurahi sana kitendo cha UKAWA kushindwa na Magufuli. Kama hili hujui huoni mengine yote unaoongea kwenye uzi wako ni utoto wa kupuuzwa?
Hujui umri wangu, huwezi kuniita dogo, pili nadhani nilikosea nafikiri nia nimjibu mtu yule aliyesema Serikali haikuingia kihalali.

Pia kuwa Dr Slaa alifurahi UKAWA ilivyoshindwa hayo ni maneno yako, hayana ushahidi hata kidogo.
 
Anayeteua ni Mwenyekiti wa CCM aliye Rais pia.
Hoja ni kuwa unakubali vipi uteuzi wa Serikali uliyodai haikuingia madarakani kihalali?
Hakuwahi sema hivyo kipindi Magufuli anaingia madarakani. Vipi kuhusi Tundu Lisu kudai stahiki zake ambazo ni za Serikali za CCM na kwanini CHADEMA inakubali kupokea ruzuku toka kwenye Serikali ya CCM.

Tuje kwako wewe sio muajiriwa wa Serikali au kama sio wewe huna ndugu au rafiki ambaye ni muajiriwa wa Serikali ya CCM ?
 
Hujui umri wangu, huwezi kuniita dogo, pili nadhani nilikosea nafikiri nia nimjibu mtu yule aliyesema Serikali haikuingia kihalali.

Pia kuwa Dr Slaa alifurahi UKAWA ilivyoshindwa hayo ni maneno yako, hayana ushahidi hata kidogo.
Hebu tulia dogo sioni kama una jipya.
 
We jamaa!

Waliomtuma Kwa malengo maalum wamejaribu kumtoa kisheria imeshindikana coz wenye amri wanataka Hali owe hivyo!!

Unakumbuka kina seth,Rugemalila na wenzake waliwekwa ndani na jpm kwa muda mrefu sana walitoka baada ya aliewaweka kuondoka madarakani!!?

Ngoia tuone,nchi itakua chini ya jaji mkuu muda si mrefu!tutajua!
 
Mzee hana cha kupoteza , hakuna cha kusujudia watu, endeleeni na hii tabia ,mtajua hamjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…