Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Jamani, si walisema watafanyia kituo cha polisi?Sasa ni mambo gani yanaendelea Mwanza? Wanaharakati wataendelea kutafuta ukumbi wa mkutano au wataamua kuondoka Mwanza?
Mimi nadhani wanahitaji kuwa na subira na atatokea mtu atawakaribisha mahali ambapo wanaweza kufanya mkutano.
Siyo mkutano wa siku moja tu. Wanahitaji ukumbi wa kufanya mikutano kwa siku kadhaa,yapo mambo mengi ya kujadili.
Yule Costa Mahalu kawafukuza sio? Yile Costa Mahalu alikuwa Heaf Prefect Mkwawa High School.
Mi nafatilia news very imperfectly. Mi nilidhani Costa Mahalu amekufa.
Mi nilidhani Costa Mahalu amekufa.[emoji3064][emoji848][emoji23]Sasa ni mambo gani yanaendelea Mwanza? Wanaharakati wataendelea kutafuta ukumbi wa mkutano au wataamua kuondoka Mwanza?
Mimi nadhani wanahitaji kuwa na subira na atatokea mtu atawakaribisha mahali ambapo wanaweza kufanya mkutano.
Siyo mkutano wa siku moja tu. Wanahitaji ukumbi wa kufanya mikutano kwa siku kadhaa,yapo mambo mengi ya kujadili.
Yule Costa Mahalu kawafukuza sio? Yile Costa Mahalu alikuwa Heaf Prefect Mkwawa High School.
Mi nafatilia news very imperfectly. Mi nilidhani Costa Mahalu amekufa.
Kama hana nguvu ya Umma si mumuache afanye kongamano lake!?Dr Slaa kelele za mitandaoni na matusi ya Mwabukusi ndo alidhani ni nguvu ya umma? Kweli Dr Slaa ameishiwa kiasi cha kushikiwa akili na kichaa Mwabukusi na mhuni mmoja Mdude?
Polisi wamegoma kutoa ukumbi wao...na pia hawataki kumkamataJamani, si walisema watafanyia kituo cha polisi?
Wafuasi wa Mbowe mnashida sanaDr Slaa kelele za mitandaoni na matusi ya Mwabukusi ndo alidhani ni nguvu ya umma? Kweli Dr Slaa ameishiwa kiasi cha kushikiwa akili na kichaa Mwabukusi na mhuni mmoja Mdude?
Sasa ukumbi ndiyo kituo cha polisi? Wawache kufanya mambo yao kwenye ukumbi wao wakawape hao wehu?Polisi wamegoma kutoa ukumbi wao...na pia hawataki kumkamata
Huo umma ulikua wapi wakati anafurushwa cafeteria?Kama hana nguvu ya Umma si mumuache afanye kongamano lake!?
Na Mimi nimeshituka juzi kuambiwa yuko hai.