Halafu Samia anadiriki kusimama mbele ya viongozi wa Africa na kuhutubia juu ya demokrasia!! Mnafiki mkubwa.Tulidokeza mapema mambo haya lakini tukapuuzwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu Samia anadiriki kusimama mbele ya viongozi wa Africa na kuhutubia juu ya demokrasia!! Mnafiki mkubwa.Tulidokeza mapema mambo haya lakini tukapuuzwa
Inapasuka Vipande Vipande SasaNauona mwisho wa CCM. Very soon!
Asante kwa taarifa.Mnaokotezaokoteza tu vihabari
Alafu mashabiki wa mtandaoni ni waoga kupita uoga wenyewe.Moto wenyewe upo humu mitandaoni na washabiki wake mnahesabika tu, hamfiki ht buku
DuhDP World wakidhubutu kupora hata sentimeta moja ya eneo la bandari zetu wajue tutakufa nao.
Akionekana mwarabu karibu na bandari ashambuliwe kwa mawe na mayowe.
Enyi wafanyakazi wa bandari. Gomeni mara moja na kuweka vizuizi mizigo isishuke mpaka mkataba ufutwe.
Kijana jiangalie sana bandali tunachukua na Ole ataetupa mawe tuna KY nyingiDP World wakidhubutu kupora hata sentimeta moja ya eneo la bandari zetu wajue tutakufa nao.
Akionekana mwarabu karibu na bandari ashambuliwe kwa mawe na mayowe.
Enyi wafanyakazi wa bandari. Gomeni mara moja na kuweka vizuizi mizigo isishuke mpaka mkataba ufutwe.
Wawaache tu then wakifika kwenye mkutano wawachape virungu na hasa mbowe apigwe mpaka avunjwe kiunoDuru za kinyeti zinatabanaisha, huenda Dkt. Slaa na wenzake wakazuiwa kwenda kuongoza mkutano waliouitisha kwa ajili ya kujadili suala la MKATABA wa BANDARI.
Nukuu:
"....Mkutano wao kina Dk Slaa sidhani kama utaruhusiwa na wakubwa. Yapo maelekezo japokuwa hayajawa bayana mkutano ule uzuiliwe kwa eti sababu za kiintelijensia.
Mkubwa mmoja amependekeza siku ya mkutano ima wazuiliwe makwao ama wakamatwe kwa mahojiano hadi mda wa baadae sana ili kutaniko lile lisifanyike.
Na Msajili ashapewa maelekezo ya kuzuia pia endapo hayo yote yasipowezekana.
Na, huenda hata mikusanyiko ya mikutano ya hadhara ihusuyo siasa, itazuiliwa baada ya Katibu mkuu wa CCM kumaliza ziara yake kwa kisingizio cha matishio ya ugaidi hasa Mbeya na Arusha."
Duru.
Wameshalipa kishika uchumba. Watadai mwali.Hata hawa wenye hili kampun nao mashetani tu! Hamuoni au kusikia wenyd mali wamesara! Mkaachana na hii biashara kichaa?