Dkt. Slaa ndiyo mgombea sahihi wa Urais kwa wakati wote Tanzania

Dr Slaa ni used condom. Ukishatumia ukaachia mzigo unaitupa kwenye ndoo ya takataka
Ndizo siasa maji taka zenyewe hizi,wewe mfia chama hebu TOKA kwenye hilo kapu
 
Slaa tena?
Old wine in old bottle!
 
Kasome kitabu chake ndo utajua kama alias au lah! Mwisho kabisa Kanisa ikitokea kuna uhitaji sana anaweza kuitwa kuhudumu kama kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa mkuu
 
Unawakubali hata wa jalalani?
 
Acha huu utoto.

Mtu asiye na familia hafai kuwa kiongozi wa nchi hata kidogo maana familia ndiyo msingi wa taifa.
Shida ni hutaki kufikiri.
Ama ukifikiria hata kidogo kichwa kitauma?
 
Ameshindwa kukaa na mke ataweza kuongoza nchi?
Kabisaaaah
Kashindwa kukaa na kanisa,
Tukajua nyege mshindo,
Kaoa mara 2 kashindwa,

Eti tumpe nchi! Akafie mbali

Bora tusimamishe mgomba kama mgombea, kama hatuna watu, kuliko huyu Slaa! Ukizingatia uraisi ni taasisi!
 
Mbona Una contradict

1.Kabudi ana rangi mbili, si alisema bila katiba mpya hatuwezi pata maendeleo. Kapewa Uwaziri wa Katiba akasema JPm anatosha na kwamba hata Uingereza haina katiba so sisi hatuhitaji .

2.JPM naye rangi mbili.... Alisema maendeleo hayana chama at the same time akienda kwenye kampeni anatishia wasipoleta mgombea wa CCM hawapati maendeleo.

3.Pole pole ndio kabisa alisema cheo Cha uDC kifutwe kupunguza gharama ila ghafla akateuliwa uDC akakubali chap na kukana msimamo wake wa Katiba mpya.

4. Bashiru naye rangi mbili, alipigia upatu katiba baadae akasema ni makaratasi tu na kwamba Tz hatuna haja ya katiba mpya.

5. Dr Slaa naye rangi mbili akiwa upinzani alisema hawawezi shinda bila time huru coz CCM ni wezi. Kaenda CCM akadai wapinzani wanalialia tu ila wanaweza kushinda hata bila tume huru!! Yaani anasahau aliwahi porwa ushindi wazi wazi na hao CCM!

Hapo ni Sokoine tu ndio hakuwa na rangi mbili akisema moja ni moja hakuna mbili Wala sifuri!!!!
 
Nitajie wakwak!

Mi nimeweka wangu kwamba ao hawanunuliki! Mfano Polepole huwezi sema umpe senti yako eti akupigie chapuo project yako! Utakuwa umefail

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Magufuli alimnunua Polepole na kumbadili kutoka uwanaharakati wa Katiba na kimfanya MJINGA kama alivyokuwa mwenyewe Magufuli
 
Kuna siku atakamilisha safari yake! Maana upuuzi hataki kabisa! Hii ni kama chadema walivyomuasi kwa kumletea Lowasa mliyenganga kuwa ni mwizi halafu mkampa nafasi ya kugombea urais! Yaani chadema ilinishangaza sana kwa upuuzi ule, ni kama Zito na Membe wa ACT
 
Nitajie wakwak!

Mi nimeweka wangu kwamba ao hawanunuliki! Mfano Polepole huwezi sema umpe senti yako eti akupigie chapuo project yako! Utakuwa umefail

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimecheka kwa nguvu mpaka watu wameniangalia hapa hotelini. Nikimuangalia Polepole wa katiba mpya aliyekuwa anasema cheo cha ukuu wa wilaya hakifai, kisha akawa mkuu wa wilaya, aliyesema uchaguzi ukiwa huru na wa haki ccm chali, kisha akawa anasimamia zile chaguzi za kihayawani wakati wa Magufuli, hata sielewi. Nilichoka kabisa Polepole alipokuwa anasema katiba mpya ni lazima wakati wa tume ya Warioba, baada ya kupata madaraka kipindi cha Magufuli akawa anasema katiba mpya sio muhimu, muhimu ni maendeleo! Huenda umesahau haya ndio maana unaanika matamanio yako yasiyoendana na uhalisia.
 
Tofautisha Mwana CCM-A na nyinyi CCM-B.
Ndiyo mnasiasa za kuchafuana namna hyo,muacheni Dr.slaa aendelee kutufindisha vijana siasa si uhuni kama mnavyofanya nyinyi wafia vyama vya siasa

Acha uongo wa mchana, nani CCM B?. Leo unaita chadema CCM B kisa Dr Slaa anaisema, unasahau kwamba kikwazo Cha CCM na serikali yake Ni CHADEMA. Umesahau magumu ambayo CHADEMA wamepitia mikononi mwa CCM mpaka kuvurugwa kwa uchaguzi na viongozwi kushambuliwa na wengine kufunguliwa kesi za uongo. Kama hulijui hilo, basi unastahili kudanganywa na Dr Slaa, ni haki yako.

Mimi sio mfia chama ndugu, ila siipendi CCM tangu nakuwa mpaka Leo nimekuwa mzee. Muhuni atakufundishaje siasa sio uhuni?. Acha uongo, Slaa anatumia chadema ili apate uhalali wa kuingia UMoja Party.
 

Seema unawapenda Viongozi wa CCM .
 
Napendekeza apeperushe bendera ya CCM kwenye Urais 2025 - Babu mihogo bado ana madini mengi sana atatusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…