Binfsi katika viongozi ninao wakubali ambao nimewashyhudia kwa macho katika age yangu hii
1. John Pombe Magufuli
2. Dkt Slaa
3. Polepole
4. Bashiru Ally
5. Prof Kabudi
Ambao nimewasoma tu
1. Mwal Nyerere
2. Sokoine
Viongozi tajwa hapo juu ndo nawakubali! Sipendi wanasiasa wenye rangi 2, leo wa kijani kesho wa blue! Sipendi mwanasiasa ambae leo anaweza kuniambia huu mkojo kesho akaja kuniambia haya maji we kunywa tu huku akijua huu ni mkojo!
Napenda wanasiasa wanaoweza kutoa maamuzi magumu bula kujari maslah yao binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee malaya malaya huyu,kama upadre tu umemshinda je nchi hataiuza??Bado tunaamini,safari ya Dkt. Slaa ktk kuikomboa nchi hii inawezekana na kwa hulka na misimamo yake katika kusimama na ukweli vinaishi mioyoni mwa watanzania.
Dr.Slaa Huyu Huyu BADO ni;
Mchukia siasa maslahi
Mchukia na mkemea ufisadi kweli kweli
Anayependa haki
Mtu wa fact
Asiyenunulika kirahisi
Mpinzani halisi wa maovu ya kiserikali asiyebadilika
Si mroho wa madaraka
Mwenye ushawishi KWA kujenga hoja zenye mashiko
Siyo muumini wa siasa janja janja(Siasa tumbo leo useme fulani fisadi na kesho umpokee)
BADO watanzania wanaamini ktk siasa zisizo na porojo zenye malengo wa kweli ktk usimamiz wa maslahi ya nchi na si za maigizo kama kina zito na mbowe.
Vijana wengi BADO tunamuamini na kuendelea kujifunza kutoka kwake,sisi tunaamini ktk mapambano ya ufisadi na kuondoa siasa za maigizo nchi hii.
Huyu Mzee ni hazina pekee iliyobaki nchi hii,walau yupo kutanabaisha ukweli,na ndugu zetu CCM na CHADEMA ambao bado wanafikra za kichamachama,watapata tabu sana.
Udhaifu wake uko wapi?Duh umefikia huko.. huu ni ulinganifu dhaifu
Nabii vs Mwanasiasa.
Siasa za maslahi maslahi siyo siasa.Tofautisha Mwana CCM-A na nyinyi CCM-B.
Ndiyo mnasiasa za kuchafuana namna hyo,muacheni Dr.slaa aendelee kutufindisha vijana siasa si uhuni kama mnavyofanya nyinyi wafia vyama vya siasa
Dr.slaa alitufanya vijana tuweke tumaini la mabadiliko ya kweli,ila Watu wenye malengo tofauti ya kisiasa ndiyo Walikuja kusaliti ila BADO tunashukuru anaendelea na msimamo wake uleule.
Watu wanapenda wanasiasa wanaokwambia leo fulani fisadi then kesho ndo candidate wetu,wanasiasa wanafiki na wachumia tumbo kama kina zito,lema,lusinde,mdee,mnyika,makamba jr,gwajima ndiyo TZ wanawataka.
Wanasiasa wanaotoka na kutuambia "USIMUAMINI MWANA SIASA" ndo wanao wataka,wanasiasa wanajimilikisha vyama na kusema vina wenyewe ndo wanaotakiwa nchi hii,wanasiasa wanazunguka kila kona kuchangisha hela KWA wananchi na kuzitumbua Bila kuhojiwa ndo wanaotakiwa nchi hii.
Binafsi nashindwa kuitofautisha Ccm,Chadema,Act,Cuf,Tlp na kadhalika.
Wanafanana KWA KILA kitu.
BADO tunahitaji watu kama Slaa KWA ajili ya kuondoa haya maigizo ya nchii hii,na hatutojiunga wala kuegemea chama chochote mpaka tupate watu sahihi Zaid wenye kuongea ukweli wasioupenda watu nchi hii.
Siasa za maigizo na uchumia tumbo zimetamalaki sana,kijana leo anashupaza shingo akiwa upinzani,kesho anaamkia chama kingine na kulamba matapishi yake
Nitajie wakwak!
Mi nimeweka wangu kwamba ao hawanunuliki! Mfano Polepole huwezi sema umpe senti yako eti akupigie chapuo project yako! Utakuwa umefail
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukumuelewa, alisema Katiba pendekezwa (ile ya Chenge na Samia).
Kupiga kura ni UAMUZI binafsi wa mtu. Ni HAKI ya KIKATIBA pia. Jikite kwenye HOJA Tujenge Nchi.Utoke nyumbani ukampigie slaa kura, labda uwe umerogwa
Napendekeza apeperushe bendera ya CCM kwenye Urais 2025 - Babu mihogo bado ana madini mengi sana atatusaidia.
Kasome kitabu chake ndo utajua kama alias au lah! Mwisho kabisa Kanisa ikitokea kuna uhitaji sana anaweza kuitwa kuhudumu kama kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
... mgombea sahihi kwako na familia yako! Mtu wa ajabu sana huyo father; sasa hivi anaropoka ropoka ovyo hajui asimamie lipi. Leo Dr. Slaa ni wa kusema Katiba iliyopo ni bora kuliko Katiba ya Warioba? Kwa kauli hiyo anajionesha ni aina ya mchumia tumbo asiyetakiwa kutiliwa maanani.Bado tunaamini,safari ya Dkt. Slaa ktk kuikomboa nchi hii inawezekana na kwa hulka na misimamo yake katika kusimama na ukweli vinaishi mioyoni mwa watanzania.
Dr.Slaa Huyu Huyu BADO ni;
Mchukia siasa maslahi
Mchukia na mkemea ufisadi kweli kweli
Anayependa haki
Mtu wa fact
Asiyenunulika kirahisi
Mpinzani halisi wa maovu ya kiserikali asiyebadilika
Si mroho wa madaraka
Mwenye ushawishi KWA kujenga hoja zenye mashiko
Siyo muumini wa siasa janja janja(Siasa tumbo leo useme fulani fisadi na kesho umpokee)
BADO watanzania wanaamini ktk siasa zisizo na porojo zenye malengo wa kweli ktk usimamiz wa maslahi ya nchi na si za maigizo kama kina zito na mbowe.
Vijana wengi BADO tunamuamini na kuendelea kujifunza kutoka kwake,sisi tunaamini ktk mapambano ya ufisadi na kuondoa siasa za maigizo nchi hii.
Huyu Mzee ni hazina pekee iliyobaki nchi hii,walau yupo kutanabaisha ukweli,na ndugu zetu CCM na CHADEMA ambao bado wanafikra za kichamachama,watapata tabu sana.
... na baada ya uzinzi wa awali akatelekeza familia akazini tena na tena kwa kuiba mke wa mtu! Tunakumbuka sana habari za Lucas Mahona mumewe Mushumbusi wasidhani tumesahau!Tangu lini mzinzi akahudumu madhabahuni acheni kulichafua kanisa. Tena amezini na wanawake wawili mmoja akiwa mke wa mtu. Acheni ushabiki kwenye Imani.
Bado tunaamini,safari ya Dkt. Slaa ktk kuikomboa nchi hii inawezekana na kwa hulka na misimamo yake katika kusimama na ukweli vinaishi mioyoni mwa watanzania.
Dr.Slaa Huyu Huyu BADO ni;
Mchukia siasa maslahi
Mchukia na mkemea ufisadi kweli kweli
Anayependa haki
Mtu wa fact
Asiyenunulika kirahisi
Mpinzani halisi wa maovu ya kiserikali asiyebadilika
Si mroho wa madaraka
Mwenye ushawishi KWA kujenga hoja zenye mashiko
Siyo muumini wa siasa janja janja(Siasa tumbo leo useme fulani fisadi na kesho umpokee)
BADO watanzania wanaamini ktk siasa zisizo na porojo zenye malengo wa kweli ktk usimamiz wa maslahi ya nchi na si za maigizo kama kina zito na mbowe.
Vijana wengi BADO tunamuamini na kuendelea kujifunza kutoka kwake,sisi tunaamini ktk mapambano ya ufisadi na kuondoa siasa za maigizo nchi hii.
Huyu Mzee ni hazina pekee iliyobaki nchi hii,walau yupo kutanabaisha ukweli,na ndugu zetu CCM na CHADEMA ambao bado wanafikra za kichamachama,watapata tabu sana.
Kuna siku atakamilisha safari yake! Maana upuuzi hataki kabisa! Hii ni kama chadema walivyomuasi kwa kumletea Lowasa mliyenganga kuwa ni mwizi halafu mkampa nafasi ya kugombea urais! Yaani chadema ilinishangaza sana kwa upuuzi ule, ni kama Zito na Membe wa ACT
Siyo mchagga ni mu Iraqw au MmbuluHAFAI URAIS KABISA , SBABU
1. Mchaga
2. Kigeugeu
3.Muongo