Dkt. Slaa ndiyo mgombea sahihi wa Urais kwa wakati wote Tanzania

Haaaaa; unajitekenya unacheka mwenyewe! Nimekwambia Chadema mlimnanga Lowasa kwa tuhuma kibao! Alipokosa urais CCM kakimbilia CHADEMA! Hakuna sehemu mlimsafisha kwamba tuhuma mlizomsonga nae kuwa alisingiziwa au alifanya na àlitubu kwa waTz hatowafanyia tena!

Nyie mlimkaribisha mojakwamoja chumba!
Yaani nyie wanasiasa ni watu wa ovyo kabisa!
 
Mbona viongozi wenu wamefunga midomo kuhusu katiba mpya?? Hahaha CCM dubwasha bhana lilisukwa na mwl NYerere hakuna kuruka kihunzi.
 
Unge dig out umjue hasa aliyefanikisha UJUO wa Lowassa Chadema huenda ukaufuta hu UZI; unakumbuka alivyo jaribu (yeye mwenyewe Slaa )kumtuhumu askofu Gwajima na Gwajima akaumwaga UKWELI Dr. Slaa alifanya nini? Aliamua kuondoka kabisa Tanzania, hakuwahi kujibu majibu yale ya askofu Gwajima hadi leo, lakini hili pia lilikua ndio jibu la hata Tundu Lissu; well, jana nimemsikia akihojiwa kuhusu hadi bwana Sitta kua mgombea wa Chadema mwaka 2010, yeye ndio alikua ana engineer hayo yote. Usimuamini sana mwana siasa, Slaa sasa hvi ana kigeugeu kuhusu KATIBA mpya
 
Kwa hyo wewe ulimuamini na unaendelea kumuamini gwajima[emoji23]
Ndo Mana akili zenu na ccm ni kitu moja
 
Piga mswaki na dawa maana Mdomo wako unanuka sana
Wacha UNUKE maana sisi kuzungumza ufisadi hatujawahi Acha,nyinyi CCM-A na CCM-B hamtaki hata kusikia watu wakitaja ufisadi maana mmeukumbatia chumbani kabisa
 
Now days CCM/CDM/ACT wanashangilia watu wenye tuhuma za ufisadi kurudi madarakani afu wanataka watu wakae kimya KWA kigezo cha kuwaita sukuma gang .Hakuna mpenda haki atakaa kimya kamwe
 
Inafikia mahali mtu unaweza kuamini vita dhidi ya ufisadi haikuwa ya chadema, ilikuwa niya Dr Slaa
 
Hafai. Mtu unatakiwa usimamie misimamo hata kama umekosea. Alipoondoka tu CDM alipoteza sifa. Kwani waliobaki ccm hawoni kama kuna makosa!! lakini wanakufa na chama chao.
 
Kwa hyo wewe ulimuamini na unaendelea kumuamini gwajima[emoji23]
Ndo Mana akili zenu na ccm ni kitu moja
Ndio akili zetu wabongo wengi zilivyo; kila unaetofautiana nae kiitikadi au hata kwenye uzi unamuhusisha na ccm; kwani Dr. Slaa sasa hvi ni chama gani? Hata hili nalo huelewi and then bado unajiona unazo kichwani; haya Dr. Slaa ni ccm mwenzangu, hapo vipi? Sio Dr. Slaa tu, hata Gwajima nae ni ccm mwenzangu hilo nalo vipi? Tumia akili, tumia vifaa vilivyopo; hotuba ya Tundu Lissu kuhusu ujio wa Lowassa Chadema bado ipo youtube, search utaipata then kalinganishe na alicho kisema GWajima then fungua majibu ya Dr. Slaa akihojiwa na channel 10 utajua ni nani alimpelekea au alisaidia Lowassa kwenda ccm. NArudia, tumia akili kutafsiri mambo, wana siasa hawaongeagi ukweli, utaujua ukweli wao through matendo yao, hilo tu ndio nataka ulifanye.
 
Wanasiasa huwa hawaongei ukweli laki. I unaamini maneno ya mwanasiasa Slaa na una wa convince watu wamwamini Silaa pia. Nakushauri nenda kapime akili yako
 
Inafikia mahali mtu unaweza kuamini vita dhidi ya ufisadi haikuwa ya chadema, ilikuwa niya Dr Slaa
Na ndo maana yake,yeye ndo alikiwasha bungeni miaka hyo ya 2006 na kuendelea.

Mbowe na genge lake hawaezi kemea ufisadi maana wao ni sehemu ya huo ufisadi.Leo hii Chadema na ccm wanaipa uzito kuongelea ufisadi waziwazi Zaid ya vijana Wachache wanaothubutu kulisemea hilo.

Hawajui madhara yake kiundani na ndo Mana Hawana hyo time
 
Mbona hujakemea ufisadi wa mabilioni aliyopiga Meko kwenye hela za plea bargaining?
Si mikakati wa kumchafua,mbona hamuulizi hizo hela za miradi ya matrilioni zimetokea wapi?
Mkiitwa nyumbu mnakataa wakati hampewi hata fursa ya kuhoji chochote TOKA KWA mabwana zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…