Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
-
- #61
CCM hupita na kushinda uchaguzi kwa haki pasipo wizi wa kura wala hujuma.Comrade sisi CCM huwa tunaiba kura hata kama tunajua tunashinda, tumejitengenezea mfumo wa wizi usiotoa haki
We umewahi linda kiapo gani?Huyu mzee alishindwa kulinda kiapo cha upandri shauri tu ya tamaa zilizopitiliza
Mtu timamu anayefanya kazi hawezi kukaa kuandika booklet hapa JFKwani nani kakwambia kuwa sina kazi? Au umechangayikiwa?
Embu acha dharau zako hapa weweyaani Watanzania wakampuuze Dr Slaa alafu wakusikilize wewe kapuku lucas mwashambwa!!😄 🤣 😂 😆 😄
Bosi mimi ni mwana CCM kindakindaki. CCM sisi ni wezi wa kura tuliokubuhuCCM hupita na kushinda uchaguzi kwa haki pasipo wizi wa kura wala hujuma.
Nani washiriki kwenye huo uchafuzi?Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa
Vyama vyenye usajili.Na
Nani washiriki kwenye huo uchafuzi?
Sasa wewe utaandika nini ikiwa kichwani ni 0Mtu timamu anayefanya kazi hawezi kukaa kuandika booklet hapa JF
Labda ungekuwa Moderator
We ndio muongo chawa aka kunguniEmbu acha dharau zako hapa wewe
John Mrema ni bendera fuata upepo ya RuzukuHamuoni hata wana CHADEMA wenyewe hawakubaliani na ujinga wenu wa kukimbia kushiriki uchaguzi? Si unaona wenye akili Timamu kama John Mrema wana sisitiza chama kushiriki uchaguzi?
Kwamba wewe una uchungu mkubwa na CHADEMA kuliko John Mrema?John Mrema ni bendera fuata upepo ya Ruzuku
Wana CDM tunasonga mbele na Lissu
#NoReformsNoElection
Ndio.Kwa mkweli ni mzee Wasira ama!!! 😄 🤣 😂 😆 😄
na wewe nikuulize una uchungu mkubwa na CCM kuliko Warioba?Kwamba wewe una uchungu mkubwa na CHADEMA kuliko John Mrema?
Kwanini wakati wa uchaguzi watu wanapigwa risasi na kuumizwa vile vile kwanini mmevisainisha kanuni za maadili vyama vya siasa wakati wagombea hawajateuliwa, (hakuna)
hujabubujikwa na machozi?Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna mtu mnapaswa kumpuuza ,kutokumsikiliza na kumkemea vikali wakati huu ni Dkt Slaa. Huyu Mzee ni Muongo sana ,Mchonganishi sana ,kigeugeu sana na anayebadilika kama kinyonga.
Embu jaribuni kufuatilia kauli zake za siku ya nyuma ndio muelewe nayoyazungumza hii leo. Huyu Mzee bila ushahidi amewahi kuudanganya Umma hadharani kuwa kuna Kontena linaingiza maboksi ya kura Feki Nchini . Mwisho wa siku baada ya uchunguzi ilikuja kubainika ni uongo na Mzee alikuwa ameudanganya Umma.
Huyu Mzee Kwa Mdomo wake Si mnakumbuka yale aliyoyazungumza wakati Mbowe amekamatwa kwa kesi ya Ugaidi? Je mnakumbuka yale aliandika kuihusu CHADEMA kwa kile alichoita Nyuma ya Pazia? Je amewahi kukanusha au kuomba msamaha? Je mnakumbuka kile alizungumza kuhusu kupigwa Risasi kwa Lissu?
Mnaanzia wapi kumuamini na kumsikiliza huyu mzee enyi watu? Ninyi mnafikiri ni kwanini watanzania wengi kwa sasa wamempuuza na kupelekea kukosa kabisa ushawishi na nguvu kwa watanzania? Jibu ni kuwa watanzania wamegundua kuwa huyu mzee ni muongo, kigeugeu, Mchonganishi na kinyonga asiye na msimamo zaidi ya kutapatapa tu na kupigania maslahi yake binafsi. Ndio sababu alipopewa Ubalozi alitulia tulii kama Maji mtungini.
Dkt Slaa ni lazima atambue ya kuwa heshima huwa hairudi mara mbili. Aliheshimika na kusikilizwa awali kwa sababu watu walikuwa gizani juu yake. Lakini sasa watu wanajua rangi yake halisi kuwa ni mtu msaliti,muongo, kigeugeu na kinyonga. Hivyo hakuna anayeweza kusikiliza uzushi wake na kumuunga mkono.hakuna wa kumsikiliza wala kupoteza muda wake kutega sikio kusikiliza uongo wake. Kwa sasa yeye atulie tu na kuendelea kujutia makosa yake na kuomba msamaha kwa Mungu wake. Uongo na uzushi hauwezi kumrejeshea heshima aliyoipoteza Mwenyewe.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ndio nina uchungu mkubwa sana na CCM kuliko hata mzee Warioba.na wewe nikuulize una uchungu mkubwa na CCM kuliko Warioba?
#NoReformsNoElction
Huu ni ushauri usipanicSasa wewe utaandika nini ikiwa kichwani ni 0
Same to me with CDMNdio nina uchungu mkubwa sana na CCM kuliko hata mzee Warioba.
Na wewe ni mkweli?Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna mtu mnapaswa kumpuuza ,kutokumsikiliza na kumkemea vikali wakati huu ni Dkt Slaa. Huyu Mzee ni Muongo sana ,Mchonganishi sana ,kigeugeu sana na anayebadilika kama kinyonga.
Embu jaribuni kufuatilia kauli zake za siku ya nyuma ndio muelewe nayoyazungumza hii leo. Huyu Mzee bila ushahidi amewahi kuudanganya Umma hadharani kuwa kuna Kontena linaingiza maboksi ya kura Feki Nchini . Mwisho wa siku baada ya uchunguzi ilikuja kubainika ni uongo na Mzee alikuwa ameudanganya Umma.
Huyu Mzee Kwa Mdomo wake Si mnakumbuka yale aliyoyazungumza wakati Mbowe amekamatwa kwa kesi ya Ugaidi? Je mnakumbuka yale aliandika kuihusu CHADEMA kwa kile alichoita Nyuma ya Pazia? Je amewahi kukanusha au kuomba msamaha? Je mnakumbuka kile alizungumza kuhusu kupigwa Risasi kwa Lissu?
Mnaanzia wapi kumuamini na kumsikiliza huyu mzee enyi watu? Ninyi mnafikiri ni kwanini watanzania wengi kwa sasa wamempuuza na kupelekea kukosa kabisa ushawishi na nguvu kwa watanzania? Jibu ni kuwa watanzania wamegundua kuwa huyu mzee ni muongo, kigeugeu, Mchonganishi na kinyonga asiye na msimamo zaidi ya kutapatapa tu na kupigania maslahi yake binafsi. Ndio sababu alipopewa Ubalozi alitulia tulii kama Maji mtungini.
Dkt Slaa ni lazima atambue ya kuwa heshima huwa hairudi mara mbili. Aliheshimika na kusikilizwa awali kwa sababu watu walikuwa gizani juu yake. Lakini sasa watu wanajua rangi yake halisi kuwa ni mtu msaliti,muongo, kigeugeu na kinyonga. Hivyo hakuna anayeweza kusikiliza uzushi wake na kumuunga mkono.hakuna wa kumsikiliza wala kupoteza muda wake kutega sikio kusikiliza uongo wake. Kwa sasa yeye atulie tu na kuendelea kujutia makosa yake na kuomba msamaha kwa Mungu wake. Uongo na uzushi hauwezi kumrejeshea heshima aliyoipoteza Mwenyewe.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi ni mkweli sana.Na wewe ni mkweli?