Dkt Slaa ni Muongo aliyekubuhu na Mchonganishi. Watanzania Mpuuzeni

Hamuoni hata wana CHADEMA wenyewe hawakubaliani na ujinga wenu wa kukimbia kushiriki uchaguzi? Si unaona wenye akili Timamu kama John Mrema wana sisitiza chama kushiriki uchaguzi?
Wewe na Mrema akili zenu ni za kichawi chawa tu!! Muache aende ACT akagombee mumpe ubunge ili kuhalarisha haramu yenu!
 
Tumpuuze Slaa, ama huu utopolo wako unaoandika humu?
 
We kijana hapa tulipofika hii ni kufuru!
 
Jingine hili hapa, katika lile kundi la mapunga:

Tlaatlaah
Chiembe
Mtoto wa shule
Mwashambwa.

Mwashambwa unalilinda vizuri kundi kenu la machawa punga.
 
Askofu anatosha
 
Huu mwaka nitaendelea kupinga upotoshaji wenu wa kila aina. Hakuna kufumbia macho uongo,uzushi na uchonganishi
Hv UVccm wako wapi siku hizi? Yule mwenyekiti wa UVCCM Taifa hafai, hajielewi. Vijana wa chadomo wanapotosha, wanazusha vijana wa CCM wako wapi kujibu? Sijawahi ona UVCCM ya hovyo km ya wakati huu. Wako wamekaa kusubiri teuzi za uDC, Ukurugenzi, uDAS n.k Hovyo kabisa. Mnamwachia Lucas sidhani km anapata ht posho
 
Haya wewe si siyo muongo muongo, tuambie sasa Tundu Antipas Lissu yupo wapi???
 
Huyu mzee alishindwa kulinda kiapo cha upandri shauri tu ya tamaa zilizopitiliza
Huyu Padre Slaa is full of contradictions na sijui tumtupe wapi.
Alivurunda kazi ya kitume akiwa Padre akajaribu siasa,lakini CCM kana kwamba walimshtukia lakini akapasua kuwa mbunge kupitia Chadema.

Akiwa mbunge na katibu mkuu wa Chadema alikiinua sana chama kwenye hoja bungeni na uongozi wenye msimamo imara.
Lakini akaja kengeuka kwenye maadili akatanguliza tamaa za kimwili,akavuruga na kimada sijui kama hazina ya Chadema ilisalimika alivyokuwa anatumbua na kidosho huyo.

Kumteua Lowasa kugombea Uraisi badalayake akakiasi chama wakati muhimu wa uchaguzi mkuu akarudi kwao CCM na kupewa Ubalozi Sweden.
Akiwa analamba asali,alituga kitabu akielezea Lissu kuwa ni mtu wa ovyo ovyo asiyeaminika,yupo yupo tu.Lakini kwa sasa kabadirisha gear na kumpamba sana.

Alivyopumzishwa ubalozi akaisemea hovyo serikali hata baada ya kumpa friendly warning, mwisho wakamchoka wakamfutia hadhi ya kuitwa Balozi.

Mara akajipenyeza kuchochea moto wa mpasuko kati Pro Lissu vis pro Mwenyekiti Mbowe.Matokeo yake aliburuzwa mahakamani bila mdhamana hadi pale busara za wenye hekima walipofuta mashtaka.

Lissu yupo rumande tuone tamthilia itayofuata,je kama Lissu atazidi kukaa jela,huyo mzee ataendelea na No Reform no Election au atajiunga na akina G55 ili agombee uraisi kwa tiketi ya Chadema?
 
Hivi na wewe unajiona ni binadamu wa kusikilizwa kweli? Hata huko unako shabikia wamekupuuza na kukutupa kama toilet paper
 
Kwa ufupi kumkamata lisu ni jambo baya sana kama taifa. Lisu hana influence ya kushinda kiti cha urais. Yaani sijui akili ya nani ilishauri kumkamata.
Lisuu hawezi siasa, siasa siyo uzushi, upotoshaji, uchochezi, kupandikiza chuki, Lissu ni mtu hatari ndio maana Magu alitaka kumalizana naye na huyu mama atajutia kujifanya mstaarabu na mwuungwana kumrudisha huyo kibaraka nchini. Lissu hana shukrani, hana adabu atamtukana kisa siasa ili mradi wako wanaomshangilia, hana fadhila ni km nguruwe tu. Dola imalizane naye tu na huyo ngedere waache udhaifu wajifunze kwa Museveni na Kagame wasicheke na huyo kima mtavuna mabua. Lissu anatumiwa na waliokuwa wakoloni wetu mtashtukia kumekucha.
 


Watanzani wa leo sio wale wa mwalimu Nyerere na kawawa

And ukae ukijua sio kila mtu ambe yuko ccm au Serikalini anaridhika na mambo yanavyokwenda

Na mkumbuke na wao ni binadamu

So tukikutana nao kwenye bia uwa wanasema kila kitu, hakuna siri yeyote

Wewe shida yako unadhania kila mtanzania anaakili za kukaa nje ya nyumba yake anasubiri mbio za mwenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…