Miye mhenga nipo tangu enzi za siasa za kasanga tumbo na NyerereUtakuwa kijana wa juzi basi,kwani Bingwa wa michango ni nani kama siyo CCM.
Mpaka Mbio za Mwenge tumechangia sana tena kwa lazima.
Hivi Viwanja mnavyoita vya CCM kila Mkoa tumechangia sana ni nguvu za Wananchi mpaka kufikia hapo.
Yule mjinga hatakiwi kuwa na familia hajawa mature enough kuown family mihogo inamtoshaFamilia Gani waongelea ,Mbona nasikia Josephine hajarudi,kazamia mazima Huko!
Mzee mtata sana huyu....
[emoji38][emoji38][emoji38]
Huyo Josephine bado yupo naye?Atakuwa amedrain akili za mzee,amebaki tabularasa.Dr Slaa amepigwa na kitu kizito leo, sidhani Kama atarudia kuropoka. Yeye akapumzike tu maana Sasa hana mke maana yule mkewe Rosemary Kamili waliachana baada ya Josephine kuingilia Kati.
Noma kweli !Huyo Josephine bado yupo naye?Atakuwa amedrain akili za mzee,amebaki tabularasa.
Wilbroad Slaa
Kumbe aliwahi kusema hivyo?, Basi ajitegemee katika kesi yake!Aisee acha Mungu aitwe Mungu tu wakuu.
Najua kuna watu wana macho, lkn hawaoni. Wana vichwa lkn hawana akili