Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

Utakuwa kijana wa juzi basi,kwani Bingwa wa michango ni nani kama siyo CCM.
Mpaka Mbio za Mwenge tumechangia sana tena kwa lazima.

Hivi Viwanja mnavyoita vya CCM kila Mkoa tumechangia sana ni nguvu za Wananchi mpaka kufikia hapo.
Miye mhenga nipo tangu enzi za siasa za kasanga tumbo na Nyerere
 
Dr Slaa amepigwa na kitu kizito leo, sidhani Kama atarudia kuropoka. Yeye akapumzike tu maana Sasa hana mke maana yule mkewe Rosemary Kamili waliachana baada ya Josephine kuingilia Kati.
 
Dr Slaa amepigwa na kitu kizito leo, sidhani Kama atarudia kuropoka. Yeye akapumzike tu maana Sasa hana mke maana yule mkewe Rosemary Kamili waliachana baada ya Josephine kuingilia Kati.
Huyo Josephine bado yupo naye?Atakuwa amedrain akili za mzee,amebaki tabularasa.
Wilbroad Slaa
 
Wilbroud slaa. kwa maslahi yake na familia yake.inampasa ajiunge na zitto ili wapambane kudhoofisha upinzani.kwani kwa sasa hawajui wako pande gani.serikali au upinzani
 
Makosa ya mwanadamu katika ujana wake huyalipia uzeeni. Kasaliti Upadre, katelekeza mama wa watoto wake, kaibuka na fupa liliomshinda fisi, kasaliti chama cha siasa sasa anaenda kulipa kwa kukosa heshima katika jamii kudhauliwa na kubaki maskini kabla ya kufa.
 
Aisee acha Mungu aitwe Mungu tu wakuu.

Najua kuna watu wana macho, lkn hawaoni. Wana vichwa lkn hawana akili.

F3jgOTWXUAAbCBJ.jpeg.jpg
 
Back
Top Bottom