fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Wakati mwingine ibilisi anasingiziwaAisee acha Mungu aitwe Mungu tu wakuu.
Najua kuna watu wana macho, lkn hawaoni. Wana vichwa lkn hawana akili
Huyu Mzee apimwe akili na alikuwa anafurahia Mwamba alipowekwa store.Dokta Cassava ana vituko sana.The older he grows,the more "numb" he becomes!
Free bwana dokta now!✊
The power of Karma na nimepinga sana huyu Mzee asirudishwe CHADEMA atatukoroga sanaDokta Cassava ana vituko sana.The older he grows,the more "numb" he becomes!
Free bwana dokta now!✊
Mjinga huyo mzee, kipindi cha dhalimu alikuwa anaongea maneno ya kijinga ili dhalimu amsifie, eti sijawahi kuona mpinzani bora kama Slaa. Nilimpuuza alipoongea shit kwenye shambulio la Lisu.Kwenye siasa, hakuna rafiki wala adui wa kudumu.
Huyu Mzee wakati wa Magufuli alijiona yeye ndio yeyeDoctor naye alichemsha Sana. Alijifanya mwanaccm Sasa wamemkamata kwa uhaini.
Ibilisi ni sisi wenyewe.Wakati mwingine ibilisi anasingiziwa
Kesi kajipa mwenyeweMmeyakoroga kumpa case ya uhaini Balozi bila kumuondolea Hadhi hiyo kwanza!!!
Kila Nchi itahoji!!!
Ipo siku ccm watafika huku Mungu yupo wapi Magufuri aliyewaza kujiongezea muda na kutawala milele lakini aliishia kutawala muda mfupi kuliko watangulizi wakeAisee acha Mungu aitwe Mungu tu wakuu.
Najua kuna watu wana macho, lkn hawaoni. Wana vichwa lkn hawana akili.
View attachment 2719183
Niwajuavyo Watanzania wanaweza kuwapa watoto wao wachanga jila la MHAINI kupinga kumbambikizia Slaa case!!Kesi kajipa mwenyewe
Huwezi akakubaliwa Shuleni mtoto mwenye jina la MHAININiwajuavyo Watanzania wanaweza kuwapa watoto wao wachanga jila la MHAINI kupinga kumbambikizia Slaa case!!
Uhaini Si jambo la kutaja taja Bure!!!
Kinywa huumba🙏🙏
Mbona kina Osama wapo secondari saizi😳😳😳!!!!Huwezi akakubaliwa Shuleni mtoto mwenye jina la MHAINI
Osama, Hitler ni majina watu wanaita famillia zaoMbona kina Osama wapo secondari saizi😳😳😳!!!!