Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

Kesi kajipa mwenyewe
Niwajuavyo Watanzania wanaweza kuwapa watoto wao wachanga jila la MHAINI kupinga kumbambikizia Slaa case!!

Uhaini Si jambo la kutaja taja Bure na kuwafanya wananchi kulizoea!!

Kinywa huumba🙏🙏
 
Niwajuavyo Watanzania wanaweza kuwapa watoto wao wachanga jila la MHAINI kupinga kumbambikizia Slaa case!!

Uhaini Si jambo la kutaja taja Bure!!!

Kinywa huumba🙏🙏
Huwezi akakubaliwa Shuleni mtoto mwenye jina la MHAINI
 
Back
Top Bottom