Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

Mmeyakoroga kumpa case ya uhaini Balozi bila kumuondolea Hadhi hiyo kwanza!!!

Kila Nchi itahoji!!!
We jamaa lofa kweli wiki hii Donald Trump anafunguliwa mashtaka bila kujali hadhi yake itakua huyu mzee fala mnafiki eti kisa aliwahi kuwa balozi.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Hebu njoo na hoja za maana
BANDARI zetu ni URITHI wetu, hazitauzwa, kubinafsishwa Wala kugawiwa Bure Kwa wageni.

Kuuziwa bandari zetu ni sawa na kuuziwa kiwanja ufukweni Bahari ikiwa ziarani!!!

Kataa wahuni🙏🙏
 
Kwa staili hii ya Wapinzani wetu,acha tu CCM iendelee kushika dola,maana hata wapinzania wenyewe kwa wenyewe ni kama panzi,cha Kunguru awafaidi.
 
BANDARI zetu ni URITHI wetu, hazitauzwa, kubinafsishwa Wala kugawiwa Bure Kwa wageni.

Kuuziwa bandari zetu ni sawa na kuuziwa kiwanja ufukweni Bahari ikiwa ziarani!!!

Kataa wahuni🙏🙏
Ni wapi mkataba unasema Bandari zimeuzwa?
 
Ni wapi mkataba unasema Bandari zimeuzwa?
Ni wapi Watanzania waliwambia wameshindwa kuziendesha bandari zao Hadi wasaidiwe na wageni???

Bandari Si uduvi kwamba zitaoza zisipogaiwa Bure Kwa waarabu!!
 
Ni wapi Watanzania waliwambia wameshindwa kuziendesha bandari zao Hadi wasaidiwe na wageni???

Bandari Si uduvi kwamba zitaoza zisipogaiwa Bure Kwa waarabu!!
Wewe ndio umesema Bandari zimeuzwa sasa nimekuuliza ni wapi kwenye huo mkataba panaposema Bandari zimeuzwa unakuja na stori nyingine
 
Wewe ndio umesema Bandari zimeuzwa sasa nimekuuliza ni wapi kwenye huo mkataba panaposema Bandari zimeuzwa unakuja na stori nyingine
Kuuzwa kwake ni wahusika kupokea RUSHWA Kisha kuzigawa Bure , umeelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…