Jiandaeni kuwaandikisha wahaini shule za kayumba.Osama, Hitler ni majina watu wanaita famillia zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiandaeni kuwaandikisha wahaini shule za kayumba.Osama, Hitler ni majina watu wanaita famillia zao
We jamaa lofa kweli wiki hii Donald Trump anafunguliwa mashtaka bila kujali hadhi yake itakua huyu mzee fala mnafiki eti kisa aliwahi kuwa balozi.Mmeyakoroga kumpa case ya uhaini Balozi bila kumuondolea Hadhi hiyo kwanza!!!
Kila Nchi itahoji!!!
Na Ndiyo Hapo tunajidhalilishaMmeyakoroga kumpa case ya uhaini Balozi bila kumuondolea Hadhi hiyo kwanza!!!
Kila Nchi itahoji!!!
Hata Somalia?...Kila Nchi itahoji!!!
Kote. Hata Sudan!!Hata Somalia?
Hebu njoo na hoja za maanaJiandaeni kuwaandikisha wahaini shule za kayumba.
Aisee acha Mungu aitwe Mungu tu wakuu.
Najua kuna watu wana macho, lkn hawaoni. Wana vichwa lkn hawana akili.
View attachment 2719183
Nashangaa leo chadema ndio wanamtetea walivyo mazuzu,huyo slaa anyongwe haraka sana, pppengo nae asakweHuyu Mzee apimwe akili na alikuwa anafurahia Mwamba alipowekwa store.
BANDARI zetu ni URITHI wetu, hazitauzwa, kubinafsishwa Wala kugawiwa Bure Kwa wageni.Hebu njoo na hoja za maana
Sio CHADEMA wote wenye amnesiaNashangaa leo chadema ndio wanamtetea walivyo mazuzu,huyo slaa anyongwe haraka sana, pppengo nae asakwe
Ni wapi mkataba unasema Bandari zimeuzwa?BANDARI zetu ni URITHI wetu, hazitauzwa, kubinafsishwa Wala kugawiwa Bure Kwa wageni.
Kuuziwa bandari zetu ni sawa na kuuziwa kiwanja ufukweni Bahari ikiwa ziarani!!!
Kataa wahuni🙏🙏
Ni wapi Watanzania waliwambia wameshindwa kuziendesha bandari zao Hadi wasaidiwe na wageni???Ni wapi mkataba unasema Bandari zimeuzwa?
Wewe ndio umesema Bandari zimeuzwa sasa nimekuuliza ni wapi kwenye huo mkataba panaposema Bandari zimeuzwa unakuja na stori nyingineNi wapi Watanzania waliwambia wameshindwa kuziendesha bandari zao Hadi wasaidiwe na wageni???
Bandari Si uduvi kwamba zitaoza zisipogaiwa Bure Kwa waarabu!!
Kuuzwa kwake ni wahusika kupokea RUSHWA Kisha kuzigawa Bure , umeelewa?Wewe ndio umesema Bandari zimeuzwa sasa nimekuuliza ni wapi kwenye huo mkataba panaposema Bandari zimeuzwa unakuja na stori nyingine
Waswahili wanasema kila muosha, na yeye huoshwa 😂😂Dokta Cassava ana vituko sana.The older he grows,the more "numb" he becomes!
Free bwana dokta now!✊
Kama una ushahidi na hiyo rushwa iweke hapa ili tujiridhisheKuuzwa kwake ni wahusika kupokea RUSHWA Kisha kuzigawa Bure , umeelewa?
Nape NnauyeMmeyakoroga kumpa case ya uhaini Balozi bila kumuondolea Hadhi hiyo kwanza!!!
Kila Nchi itahoji!!!
IKama una ushahidi na hiyo rushwa iweke hapa ili tujiridhishe
Pamoja na hivyo, ila alitakiwa amuombe mwenzake msamaha hadharani kama alivyomdhihaki hadharani ili kuepuka karma.Kwenye siasa, hakuna rafiki wala adui wa kudumu.