Punguza uropokajiWe jamaa lofa kweli wiki hii Donald Trump anafunguliwa mashtaka bila kujali hadhi yake itakua huyu mzee fala mnafiki eti kisa aliwahi kuwa balozi.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Huyu mzee ni wa hovyo sana. Siku zote huwa tayari kuwageuka wenzake kwa sababu ya tumbo lake.Kumbe aliwahi kusema hivyo?, Basi ajitegemee katika kesi yake!
Here we go 😀
Mbona hapa Tanzania kuhonga upate tender ni jambo la kawaida Tokea Enzi za Nyerere Mwinyi Mkapa Kikwete Magufuli nini ambacho ni cha ajabu?I
RUSHWA inaanzia kwenye kukiuka SHERIA ya utoaji tender na SHERIA za manunuzi!!
Bado harufu ya RUSHWA hujasikia?
Pili ni kiongozi wetu kutangazwa Bure katika mnara Ule!!Kama una ushahidi na hiyo rushwa iweke hapa ili tujiridhishe
Mara nyingi yakiwakuta wenzake yeye hufurahia sana, hata kwa Lisu kupigwa risasi ilikuwa hivyo hivyo.Huyu Mzee apimwe akili na alikuwa anafurahia Mwamba alipowekwa store.
Tatu, watu binafsi kumgharamia kiongozi wetu safari ya royo tua!!!Kama una ushahidi na hiyo rushwa iweke hapa ili tujiridhishe
Hiyo hoja haina mashiko acha chuki dhidi ya Raisi wetu mpendwaTatu, watu binafsi kumgharamia kiongozi wetu safari ya royo tua!!!
Hujasikia tu harufu ya RUSHWA? Au una mafua makali!!
Nne ni Kampuni hiyo kuahidi ujenzi wa msikiti mkubwa mbeya kabla ya KAZI kuanza!!Kama una ushahidi na hiyo rushwa iweke hapa ili tujiridhishe
Mzee mihogo ni snitch sana. Mkipima kumpokea tu mmekwisha.The power of Karma na nimepinga sana huyu Mzee asirudishwe CHADEMA atatukoroga sana
ndio maana wanaitwa nyumbuuNashangaa leo chadema ndio wanamtetea walivyo mazuzu,huyo slaa anyongwe haraka sana, pppengo nae asakwe
Msikiti jambo la kheri acha chukiNne ni Kampuni hiyo kuahidi ujenzi wa msikiti mkubwa mbeya kabla ya KAZI kuanza!!
Bado tu hujasikia harufu ya RUSHWA? Au hujui RUSHWA ni upendeleo, kupata usichostahili, kutokula Kwa JASHO?
Niendelee?!!
Mimi nitakuwa mstari wa mbele kumpinga huyu Bundi asitue tena CHADEMAMzee mihogo ni snitch sana. Mkipima kumpokea tu mmekwisha.
Ukisia siasa uchwara ndio hizi my lovely sis. Hadi aibu naona mimi 😀😀Siasa bhana 🙌
Ngoja vijana wa jazba waje.
Hii Duuh ni ya kiingereza au kiswahili Mkuu? 😀Duuh
Zee linaangalia upepo unaenda vipi ili aungane nao kwa masilahi ya tumbo lake na familia yake.Mjinga huyo mzee, kipindi cha dhalimu alikuwa anaongea maneno ya kijinga ili dhalimu amsifie, eti sijawahi kuona mpinzani bora kama Slaa. Nilimpuuza alipoongea shit kwenye shambulio la Lisu.