Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

Kama una ushahidi na hiyo rushwa iweke hapa ili tujiridhishe
Nne ni Kampuni hiyo kuahidi ujenzi wa msikiti mkubwa mbeya kabla ya KAZI kuanza!!

Bado tu hujasikia harufu ya RUSHWA? Au hujui RUSHWA ni upendeleo, kupata usichostahili, kutokula Kwa JASHO?

Niendelee?!!
 
Msikiti jambo la kheri acha chuki
 
Hii inanikumbusha jinsi mhuni mmoja wa chechemaa alipo mpa Kinana karipio. Ikumbukwe kinana alijiunga na CCM 1977. Mhuni katokea kaf juzi juzi tu halafu anamkaripia kinana.
Sasa hv kinana Yuko kwenye usukani. Sema tu watu wema hawafi mapema halafu hawana malipizo.
 
Mjinga huyo mzee, kipindi cha dhalimu alikuwa anaongea maneno ya kijinga ili dhalimu amsifie, eti sijawahi kuona mpinzani bora kama Slaa. Nilimpuuza alipoongea shit kwenye shambulio la Lisu.
Zee linaangalia upepo unaenda vipi ili aungane nao kwa masilahi ya tumbo lake na familia yake.
 
Kuna toba! Nduguyo akikukosea!
[emoji116][emoji116]
Matthew 18:21-22
[21Kisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikose mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba?

[22]Yesu akamwambia, Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini.

۞ قَوْلٌ مَّعْرُوفٌ وَمَغْفِرَةٌ خَيْرٌ مِّن صَدَقَةٍ يَتْبَعُهَا أَذًى ۗ وَاللَّهُ غَنِيٌّ حَلِيمٌ

[ AL - BAQARA - 263 ]
Kauli njema na usamehevu ni bora kuliko sadaka inayo fuatiliwa na maudhi. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kujitosha na Mpole.
 
Back
Top Bottom