Wabulu ndo nn?Wabulu siyo watu wa kuamini hata kidogo, Slaa kalelewa na Mbowe lakini kamgeuka ni kama dada ake Paulina na wengine
Wewe ulitaka aondolewaje?Ungejua sababu ya kuondolewa kwake kwenye ukatibu wa TEC usingeitaja Vatican hapa
Tunamtakia kila la heriKwa udi na uvumba
Asitumie Chadema kama platform ya kupatia teuzi.Tunamtakia kila la heri
yana mhusu kwa sababu DR.Slaa ni mzalendo wa kweli, anaipenda nchi yake sio kama Mbowe mhalifu na msaliti mkubwa kwa nchi.SASA KAMA ALISHAKIMBIA YA MBOWE YANAMHUSU NINI?
Hayo ni ya kwako , Chadema haiwezi kuhujumiwa na TISS , hii ni kwa sababu Chadema ni zaidi ya hao mamluki , ndio maana leo bado iko juu na wanachama zaidi ya 12mil , fuatilia ujenzi wa ofisi za Baraza la Maaskofu Kurasini , utayajua mengi kuhusu huyo MzeeWewe ulitaka aondolewaje?
Kama Katambi!!!
Hayo ni ya kwako , Chadema haiwezi kuhujumiwa na TISS , hii ni kwa sababu Chadema ni zaidi ya hao mamluki , ndio maana leo bado iko juu na wanachama zaidi ya 12mil , fuatilia ujenzi wa ofisi za Baraza la Maaskofu Kurasini , utayajua mengi kuhusu huyo Mzee[/QUOTE@Moderator tunakushukuru kwa kumuokoa Dr Slaa , endelea na moyo huohuo wa kizalendo
Madam naomba niku pmAsitumie Chadema kama platform ya kupatia teuzi.
Wana misimamo vibaya sana, fuatilia siku alijiuzulu, hadi barua ilivochanwa na Prf. Safari.Wabulu siyo watu wa kuamini hata kidogo, Slaa kalelewa na Mbowe lakini kamgeuka ni kama dada ake Paulina na wengine
Kwani ndo maana tulituma Takukuru kumchunguza Mbowe pamoja na Chama chao vipi walikuja na majibu gani kwani ni muda sasa.Dr. Slaa
Dr. Mashinji hawa wote walikuwa watendaji wakuu wa CDM, awanajua mikakati yote ya siri iliyo kuwa ikiratibiwa na Mbowe dhidi ya Serikali.
Duh, Wilbroad Slaha huyu! Mtu mwenyewe hajisimamii bali husimamiwa na wananwake anaowatongoza. Katika maisha yake yote Wilbroad Slaha hakuwahi kufanya uamuzi isipokuwa kwa chagizo za wanawake. Josephine Mushumbusi ni mwanamke aliyemrubuni Wilbroad Slaha kuhamia CCM baada ya kukosa nafasi ya kugombea urais wa JMT (2015) kupitia Chadema. Mushumbusi mwenyewe alirubuniwa na Bernard Membe baada ya kuingizwa kwenye orbit ya Membe ya kugombea urais (2015), akipewa mtaji, kuliwa na kuanzishiwa biashara ya kagugu Guangzhou - Dar es Salaam. Inasikitisha kuona tena Josephine amemkimbia Wilbroad Slaa na kuolewa na mwanaume mwingine huko Canada. Huyo ndiye Wilbroad Slaha. Rose Kamili mwanamke aliyemzalisha watoto watatu na kisha kuwatelekeza alisaidiwa na mwendazake kwa kumrubuni arudi CCM. Wilbroad Slaha hana integrity kabisa. Ni chawa kama chawa wachumia tumbo wengine.Katibu Mkuu Mstaafu wa CHADEMA, Dkt. Wilbrod Slaa ambaye mpaka sasa pengo lake ndani ya chadema halijazibika ameamua kuwaondolea uvivu wafuasi wa chadema wanaoingilia uhuru wa Mahakama kwa kudai Mbowe si Gaidi.
Kwenye mahojiano maalum Nguli huyo wa siasa na Mbobezi wa siasa za upinzani ameshangaa Wanachadema wanavyolifanya suala la Mahakama kama suala la kisiasa na hasa wanaposhinikiza majaji kufanya maamuzi ya upande wao.
"Mimi huwa sizunguki niliuzika tangu siku ya kwanza nilipoona maneno kuwa Mbowe si Gaidi wao (chadema) ni kinani mpaka waseme Mbowe si gaidi tena katika suala ambalo liko Mahakamani " Amesema Dkt. Slaa.
Kauli hii nzito ya Dkt. Slaa inastahili kupongezwa na kila mtu anayepigania na kulinda uhuru wa Mahakamana Tanzania na Dunia nzima, ni aibu kwa mtu yeyote kuingilia uhuru wa Mahakama.
Wanasiasa aina ya Dkt. Slaa hasa kutokea upinzani huwa wanakuaga wachache sana kwa sababu ya uwezo wao wa kueleza ukweli, ndiyo maana mpaka sasa bado hajatokea ndani ya chadema kila siku wanafanya kazi ya kubadilisha Makatibu Wakuu.View attachment 2134036
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Fuatilia vuzuri ndo mtetee Dr. kwani Mbowe kwenye siasa za hapa Tanzania hakuna wa kumfananisha naye lile la kweli litakuweka huru.wafuasi wa mboe hamna budi kumheshimu sana Dr. Slaa, maana yeye na Lisu ndio walio kijenga chama.
Mboe yeye alikuwa mpiga debe tu lkn mipango makini ya kisiasa ilisukwa na Dr.Slaa.
tuache bangi pembeni tuwe wakweli.
Dr. Slaa anamjua ndani nje mzee Mbowe, mikakati yake yote ya kihalifu anaijua.
Focus na wajinga wenzako wa Lumumba , Chadema hapakuhusuCHADEMA ilipoteza muelekeo uyu mzee alipokiacha chama Sasa wamebakia wahuni wahuni na program zao cha upato wa changia sijui mawakili, sijui makamanda yani janja janja tu na matusi