Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

Mbona unateseka sana.au unadhani bado kuna wajinga wakusikiliza propaganda mfu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hili chala linaloitwa mahakama inabidi lifumuliwe....
Ni chaka la maovu kwa kisingizio cha haki.
 
Huyu Mzee sasa anakoelekea siko, Kwanza muulizeni Josephine Mushumbusi Yuko wapi ? Mbona amerejea TZ Peke yake ? Ana msongo wa mawazo kwani heshima umepotea, Mushumbusi kanyanganywa na vijana wa West Africa huko na wameoa kabisa, anaishi Peke yake Kule Bunju.......anahitaji maombi na maombezi!

Anatakiwa kutubu dhambi ya Usaliti ambayo imemuandama Kwa Muda mrefu sasa, ndio njia pekee ya huyu Mzee kupona na sio vinginevyo !

Kuna siku nitamfunua na kumuacha wazi ,Watanzania hamtaamini kizee hiki kina matendo maovu kiwango hicho ! Ngoja nijipe Muda!
 
Dr. Slaa anajitambua sana ndio maana alimkimbia Mbowe na genge lake la kihalifu.

Dr. Slaa ana siri nyingi sana za huyu gaidi.
Kumbe aliacha upadri kwa sababu anajitambua! Unataka kutuambia aliona dini ni ubabaishaji.
 
Alikuja kuharibu pale alipokuja kumpata kimada (mke wa mtu)! Kuanzia hapo ndipo alipoanza kupelekeshwa kama gari bovu na huyo mwanamke.

Kunguru hafugiki!!! Sijui kama ni kweli wanasema yule mama baada ya Slaa kumaliza ubalozi huko Sweden nae akamalizana nae sasa hivi yuko Canada na njemba nyingine!! Padri alipora na yeye kaporwa; ngoma drooo!!
 
Wewe unamwita Mbowe gaidi lakini huyo mzee wako hataki wanaosema Mbowe sio gaidi. Hauoni wewe na huyo Slaa mnamatatizo
jaribu kuelewa hoja, mbowe mpaka sasa ni mtuhumiwa kama ni gaidi au sio gaidi itajulikana pale hukumu itakapotoka. Kuanza kusema ni gaidi au siyo gaidi ndicho anachopinga dr. Slaa ni siasa zisizo na mashiko
 
Alafu Mbowe akishambuliwa personally mnaanza kurukaruka! Hivi mnafikiri watu hawajui mauchafu ya kimaadili huko kwenye vyama venu? Hebu tafuta ugali achana na maisha ya watu.
 
Acha utoto wewe limbukeni. Dr Slaa alipoikimbia CCM alipewa hifadhi Chadema na kupitia Chadema akaukwaa ubunge katika uchaguzi wa kwanza chini ya mfumo wa vyama vingi mwaka 1995...
Hujui usemalo. Hivi mtu aliyefikia level ya kuwa katibu wa TEC umlee nini? Labda hujui usemalo. He used his experience kufanya chama kiwe well organised na kusimamia agendas ziliipa Chadema umaarufu kuliko wakati wowote.

Nyie mkimchukia mtu mnampa majina yote mabaya! Give a dog a bad name and hang him.
 
Out of content & context! Kwamba yeye hataki watu waseme kuwa #MbowesioGaidi Ila wale wanaosema Mbowe NI Gaidi' Hana shida nao ? Huyu Mzee anatafuta ugali as mafao yake NI madogo Sana kafanya KAZI ya ubalozi only for 5 yrs akastaafu Kwa mujibu wa sheria ! He can't sustain his life anymore!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…