Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Njaa haina baunsa , hata ungekuwa wewe mke wako anaolewa na mtu mwingine waziwazi ungejisikiaje ?Pia usisahau kuwa, Alfred Lwekatare wakati akiwa Chadema aliwahi kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi (eti alikuwa anapanga mipango ya kumuua Zito, kuteka watu na kutesa), wakati huo Dr. Slaa akiwa katibu mkuu CHADEMA alikuwa akijitokeza hadharani na kuuwambia umma kuwa "Lwekatare sio gaidi, Lwekatare sio gaidi...."
Sasa nini kimebadilika kwa Dr. Slaa na leo aje na hoja za kusema tusiseme Mbowe sio gaidi?
CHADEMA ilipoteza muelekeo uyu mzee alipokiacha chama Sasa wamebakia wahuni wahuni na program zao cha upato wa changia sijui mawakili, sijui makamanda yani janja janja tu na matusi
Mzee vipi huyu kwaiyo wale wanaosema Mbowe ni gaidi haudhiki nao?
Kama Dr. ana elimu inayomzidi basi mwenzake amemzidi kwa karama ndo maana aliweza kumtengeneza mpaka mm na ww tukamjua na ndo maana waliomrubuni kwa kumpitishia Mlango wa nyuma wa hotel nao waliweza kumwona na kumshawishi kwa vipandeni kosa kubwa kumlinganisha mbowe na Dr. Slaa.
1. Elimu tu hawalingani, yaani unataka kumfananisha Dr. na Mbowe aliye feli form 6?!!
huo ni ukosefu wa adabu, tafkari upya.
ujanja ujanja wa kuongea mboe anao...ni mtu wa kutaka na yy aonekane kasoma lkn bahati mbaya hana elimu.
ujanja wa kuongea tu kila mtu anao.
Mku mwenye karama na mwenye elimu nitofauti sasa ni ww kuchambua utendaji wake ili kuweza kumfananisha na huyo mwenye elimu.Chama cha upinzani pekee kinacho ongozwa na mwenyekiti aliye feli form 6 ni Chadema.
karne hii ya 21 mnaongozwa na form 6 failure!! ni aibu kubwa...
Na sisi tulimwita kibabu cha Ufipa ila kwa sasa sio kibabu sioSi wanaufipa mlikuwa mnamuita rais wa moyoni huyu?
Tushukuru kaja kwetu ili atujengee chama vipi anaanza kujenga lini kwani umri unazidi kwenda.Hujui usemalo. Hivi mtu aliyefikia level ya kuwa katibu wa TEC umlee nini? Labda hujui usemalo. He used his experience kufanya chama kiwe well organised na kusimamia agendas ziliipa Chadema umaarufu kuliko wakati wowote.
Nyie mkimchukia mtu mnampa majina yote mabaya! Give a dog a bad name and hang him.
Akamkimbia Mbowe,akaenda kujiunga na chama Cha mafisadi papa Lowasa,Wewe unamwita Mbowe gaidi lakini huyo mzee wako hataki wanaosema Mbowe sio gaidi. Hauoni wewe na huyo Slaa mnamatatizo
Mhaya ni kama paka mzee anataka sehemu yenye maziwaNasikia kakimbiwa na yule mhaya wake.
Aibu kubwa sn kwa huyu mzeeWakati anagombea vipi kuhusu kuiachie Tume ya Uchaguzi iamue?
😆chombo cha haki
Tangu tumchukue CHADEMA imepoteana imekuwa kinara wa michango kuzidi vikundi vya kufa na kuzikana mitaani kwetu🤪Tangu mumchukue amewasaidia nini..?
Vipi watalii wameongezeka..?
Mnakomaa na Chama kilichopoteza muelekeo cha nini.
Kwa Taarifa yako Chadema ipo Imara kuliko unavyofikiria.
Hii sio Karne ya Kuongozwa na mwenye Karama.Mku mwenye karama na mwenye elimu nitofauti sasa ni ww kuchambua utendaji wake ili kuweza kumfananisha na huyo mwenye elimu.
Lakini kumbuka aliyemkochi huyu mwenye ni mwenye karama ndo maana tumeweza kumzungumzia ktk huu uzi
Huyu Mzee ipo laana inayomtafuna, kwamba mabarizi wa mataifa makubwa yanafika mahakamani sikiliza kesi ya Gaidi, mpaka anaambiwa FAM do not give upAliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki.
“Katika masuala yaliyoko mahakamani ninaona kwanza kuna sura inatumika, kwenda kule Mahakamani kama sehemu ya siasa kitu ambacho mimi sikubaliani nacho.
“Hivyo sijaenda kwa kuwa ni kitu ambacho sikubaliani nacho, sikubaliani na principal ambayo inatumika, mnaenda kule kisha mnaanza kujipiga picha na mpo kwenye mitandao, hiyo ni siasa, mimi sichezi hizo siasa.
“Mimi nikiamua kumtembelea Mbowe nitaenda nyumbani kwake, sitaki kufanya kitendo cha Mbowe kuwa gerezani kuwa siasa, kama ni kumuombea nitauombea kwa nafsi yangu.
“Niliudhika tangu siku ya kwanza na yale maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema Mbowe siyo gaidi?
“Wanatakiwa kuachia chombo cha haki kitoe maamuzi siyo wananchi.
“Lakini sina chuki na Mbowe wala sina uadui, nimeshakutana na Mbowe mara kadhaa airport, tukakumbatiana, tukabadilishana namba japo hakuna aliyempigia mwenzake,” anasema DK SLAA.
Source: MwanaHalisi
Hongera.Hii sio Karne ya Kuongozwa na mwenye Karama.
Huwezi kulinganish mwenye Elimu na asiye na Elimu.
Mbowe hajaelimika...yaani kafeli kidato cha 6 sasa kweli unaweza kulinganisha kwenye mizani na Dr. Slaa?!
haiwezekani.....yaaani Mbowe anafaa kwenye kupiga debe tu lkn kwenye mambo ya kisomi/kitaalamu hawezi.
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki.
“Katika masuala yaliyoko mahakamani ninaona kwanza kuna sura inatumika, kwenda kule Mahakamani kama sehemu ya siasa kitu ambacho mimi sikubaliani nacho.
“Hivyo sijaenda kwa kuwa ni kitu ambacho sikubaliani nacho, sikubaliani na principal ambayo inatumika, mnaenda kule kisha mnaanza kujipiga picha na mpo kwenye mitandao, hiyo ni siasa, mimi sichezi hizo siasa.
“Mimi nikiamua kumtembelea Mbowe nitaenda nyumbani kwake, sitaki kufanya kitendo cha Mbowe kuwa gerezani kuwa siasa, kama ni kumuombea nitauombea kwa nafsi yangu.
“Niliudhika tangu siku ya kwanza na yale maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema Mbowe siyo gaidi?
“Wanatakiwa kuachia chombo cha haki kitoe maamuzi siyo wananchi.
“Lakini sina chuki na Mbowe wala sina uadui, nimeshakutana na Mbowe mara kadhaa airport, tukakumbatiana, tukabadilishana namba japo hakuna aliyempigia mwenzake,” anasema DK SLAA.
Source: MwanaHalisi
View attachment 2134006
View attachment 2134054
Delila anayekuangaisha yuko wapi siku hizi wewe mzee uliyevurugwa!? Toka umuingize Mushumbusi kwako aliulamba ule ubongo na kuweka kinyesi tu! Mpuuzi kweli umefuatilia yanayoendelea katika kile unachokiita chombo cha sheria/haki? Hatukuhitaji na tumbo lako unaloendekeza mshenzi mkubwa wewe si uvae tu kijani? I hate this stooge!
Dr. Slaa alipoondoka CDM alidai ni kwa sababu ya principles .... sasa anaonyesha kuwa siyo kweli.Pia usisahau kuwa, Alfred Lwekatare wakati akiwa Chadema aliwahi kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi (eti alikuwa anapanga mipango ya kumuua Zito, kuteka watu na kutesa), wakati huo Dr. Slaa akiwa katibu mkuu CHADEMA alikuwa akijitokeza hadharani na kuuwambia umma kuwa "Lwekatare sio gaidi, Lwekatare sio gaidi...."
Sasa nini kimebadilika kwa Dr. Slaa na leo aje na hoja za kusema tusiseme Mbowe sio gaidi?