Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

Pia usisahau kuwa, Alfred Lwekatare wakati akiwa Chadema aliwahi kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi (eti alikuwa anapanga mipango ya kumuua Zito, kuteka watu na kutesa), wakati huo Dr. Slaa akiwa katibu mkuu CHADEMA alikuwa akijitokeza hadharani na kuuwambia umma kuwa "Lwekatare sio gaidi, Lwekatare sio gaidi...."

Sasa nini kimebadilika kwa Dr. Slaa na leo aje na hoja za kusema tusiseme Mbowe sio gaidi?
Njaa haina baunsa , hata ungekuwa wewe mke wako anaolewa na mtu mwingine waziwazi ungejisikiaje ?
 
CHADEMA ilipoteza muelekeo uyu mzee alipokiacha chama Sasa wamebakia wahuni wahuni na program zao cha upato wa changia sijui mawakili, sijui makamanda yani janja janja tu na matusi

Tangu mumchukue amewasaidia nini..?
Vipi watalii wameongezeka..?
Mnakomaa na Chama kilichopoteza muelekeo cha nini.

Kwa Taarifa yako Chadema ipo Imara kuliko unavyofikiria.
 
ni kosa kubwa kumlinganisha mbowe na Dr. Slaa.
1. Elimu tu hawalingani, yaani unataka kumfananisha Dr. na Mbowe aliye feli form 6?!!
huo ni ukosefu wa adabu, tafkari upya.
ujanja ujanja wa kuongea mboe anao...ni mtu wa kutaka na yy aonekane kasoma lkn bahati mbaya hana elimu.
ujanja wa kuongea tu kila mtu anao.
Kama Dr. ana elimu inayomzidi basi mwenzake amemzidi kwa karama ndo maana aliweza kumtengeneza mpaka mm na ww tukamjua na ndo maana waliomrubuni kwa kumpitishia Mlango wa nyuma wa hotel nao waliweza kumwona na kumshawishi kwa vipande
 
Chama cha upinzani pekee kinacho ongozwa na mwenyekiti aliye feli form 6 ni Chadema.
karne hii ya 21 mnaongozwa na form 6 failure!! ni aibu kubwa...
Mku mwenye karama na mwenye elimu nitofauti sasa ni ww kuchambua utendaji wake ili kuweza kumfananisha na huyo mwenye elimu.
Lakini kumbuka aliyemkochi huyu mwenye ni mwenye karama ndo maana tumeweza kumzungumzia ktk huu uzi
 
Hujui usemalo. Hivi mtu aliyefikia level ya kuwa katibu wa TEC umlee nini? Labda hujui usemalo. He used his experience kufanya chama kiwe well organised na kusimamia agendas ziliipa Chadema umaarufu kuliko wakati wowote.

Nyie mkimchukia mtu mnampa majina yote mabaya! Give a dog a bad name and hang him.
Tushukuru kaja kwetu ili atujengee chama vipi anaanza kujenga lini kwani umri unazidi kwenda.
Kwanza kabla ya yote tuangalie na umri wake na alichokiongea huyu mwanaccm mwenzangu
 
FB_IMG_1646105812962.jpg
 
Watu wanasema Mbowe si GAIDI kwa kuangalia ushahidi uliotolewa na influence ya Wakuu,laiti ushahidi ingekuwa unaeleweka watu wasingeshangaa
 
Tangu mumchukue amewasaidia nini..?
Vipi watalii wameongezeka..?
Mnakomaa na Chama kilichopoteza muelekeo cha nini.

Kwa Taarifa yako Chadema ipo Imara kuliko unavyofikiria.
Tangu tumchukue CHADEMA imepoteana imekuwa kinara wa michango kuzidi vikundi vya kufa na kuzikana mitaani kwetu🤪
 
Mku mwenye karama na mwenye elimu nitofauti sasa ni ww kuchambua utendaji wake ili kuweza kumfananisha na huyo mwenye elimu.
Lakini kumbuka aliyemkochi huyu mwenye ni mwenye karama ndo maana tumeweza kumzungumzia ktk huu uzi
Hii sio Karne ya Kuongozwa na mwenye Karama.
Huwezi kulinganish mwenye Elimu na asiye na Elimu.

Mbowe hajaelimika...yaani kafeli kidato cha 6 sasa kweli unaweza kulinganisha kwenye mizani na Dr. Slaa?!
haiwezekani.....yaaani Mbowe anafaa kwenye kupiga debe tu lkn kwenye mambo ya kisomi/kitaalamu hawezi.
 
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki.

“Katika masuala yaliyoko mahakamani ninaona kwanza kuna sura inatumika, kwenda kule Mahakamani kama sehemu ya siasa kitu ambacho mimi sikubaliani nacho.

“Hivyo sijaenda kwa kuwa ni kitu ambacho sikubaliani nacho, sikubaliani na principal ambayo inatumika, mnaenda kule kisha mnaanza kujipiga picha na mpo kwenye mitandao, hiyo ni siasa, mimi sichezi hizo siasa.

“Mimi nikiamua kumtembelea Mbowe nitaenda nyumbani kwake, sitaki kufanya kitendo cha Mbowe kuwa gerezani kuwa siasa, kama ni kumuombea nitauombea kwa nafsi yangu.

“Niliudhika tangu siku ya kwanza na yale maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema Mbowe siyo gaidi?

“Wanatakiwa kuachia chombo cha haki kitoe maamuzi siyo wananchi.

“Lakini sina chuki na Mbowe wala sina uadui, nimeshakutana na Mbowe mara kadhaa airport, tukakumbatiana, tukabadilishana namba japo hakuna aliyempigia mwenzake,” anasema DK SLAA.

Source: MwanaHalisi

Huyu Mzee ipo laana inayomtafuna, kwamba mabarizi wa mataifa makubwa yanafika mahakamani sikiliza kesi ya Gaidi, mpaka anaambiwa FAM do not give up

Huyu ni msaliti no MOJA wa harakati za ukombozi katika Taifa letu, akae mbali na Chadema
 
Hii sio Karne ya Kuongozwa na mwenye Karama.
Huwezi kulinganish mwenye Elimu na asiye na Elimu.

Mbowe hajaelimika...yaani kafeli kidato cha 6 sasa kweli unaweza kulinganisha kwenye mizani na Dr. Slaa?!
haiwezekani.....yaaani Mbowe anafaa kwenye kupiga debe tu lkn kwenye mambo ya kisomi/kitaalamu hawezi.
Hongera.
Asante
 
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki.

“Katika masuala yaliyoko mahakamani ninaona kwanza kuna sura inatumika, kwenda kule Mahakamani kama sehemu ya siasa kitu ambacho mimi sikubaliani nacho.

“Hivyo sijaenda kwa kuwa ni kitu ambacho sikubaliani nacho, sikubaliani na principal ambayo inatumika, mnaenda kule kisha mnaanza kujipiga picha na mpo kwenye mitandao, hiyo ni siasa, mimi sichezi hizo siasa.

“Mimi nikiamua kumtembelea Mbowe nitaenda nyumbani kwake, sitaki kufanya kitendo cha Mbowe kuwa gerezani kuwa siasa, kama ni kumuombea nitauombea kwa nafsi yangu.

“Niliudhika tangu siku ya kwanza na yale maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema Mbowe siyo gaidi?

“Wanatakiwa kuachia chombo cha haki kitoe maamuzi siyo wananchi.

“Lakini sina chuki na Mbowe wala sina uadui, nimeshakutana na Mbowe mara kadhaa airport, tukakumbatiana, tukabadilishana namba japo hakuna aliyempigia mwenzake,” anasema DK SLAA.

Source: MwanaHalisi

View attachment 2134006

View attachment 2134054
Delila anayekuangaisha yuko wapi siku hizi wewe mzee uliyevurugwa!? Toka umuingize Mushumbusi kwako aliulamba ule ubongo na kuweka kinyesi tu! Mpuuzi kweli umefuatilia yanayoendelea katika kile unachokiita chombo cha sheria/haki? Hatukuhitaji na tumbo lako unaloendekeza mshenzi mkubwa wewe si uvae tu kijani? I hate this stooge!​
 
Pia usisahau kuwa, Alfred Lwekatare wakati akiwa Chadema aliwahi kukamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi (eti alikuwa anapanga mipango ya kumuua Zito, kuteka watu na kutesa), wakati huo Dr. Slaa akiwa katibu mkuu CHADEMA alikuwa akijitokeza hadharani na kuuwambia umma kuwa "Lwekatare sio gaidi, Lwekatare sio gaidi...."

Sasa nini kimebadilika kwa Dr. Slaa na leo aje na hoja za kusema tusiseme Mbowe sio gaidi?
Dr. Slaa alipoondoka CDM alidai ni kwa sababu ya principles .... sasa anaonyesha kuwa siyo kweli.
 
Back
Top Bottom