Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulimpokea Katibu Mkuu Mashinji hakuwa na jipya itakuwa Lijualikali kwani ni maneno tuu wamekuja kutujazia wingi huku ccmKila mtu aliyetoka CDM mlisema ana siri nyingi sana za chama. Lijualikali alitangaza utayari wake wa kutoa ushahidi kuhusu maovu ya CDM na Mwenyekiti wake. Bado tunasubiri. Mnachosha sana.
Amandla...
Slaa is irrelevant now ; alisha katwa mkia na JIWE na Mke amemkimbia!!! Iliyobaki arudi kwao akalime, asijiingize kwenye siasa za Chadema tena!!!Dr. Slaa ni Moja ya watu wanaochukizwa na wananchi kumtetea Mbowe: amedai anakwazika akisikia watu wanasema Mbowe Siyo Gaidi huku akitaka mahakama iachwe ifanye kazi yake.
Poleni wachawi,Mbali na kuwa wengi wanavielimu vya vyuo, ila vichwani ni hamnazo tuu,
Unamnunua na kumtusi mtu anaposimama kwenye ukweli? Ujinga tupu
Wimbo wa Mbowe si Gaidi, Nani imempa uahueni nafsini mwake?
Ni miezi sasa huo wimbo unaimbwa, mbona bado yuko lupango bwana Mbowe?
Hili ni hizi kama mengine,limejaa mvinyo kwenye mtumbo wake,sasa lazima lilambe matapishiAliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki.
Aaaaa hebu kumbuka.Alikuwa anakula mihogo mibichi kutwa mara tatu.Au...ngoja!Aliitwa Dokta Mihogo!Umemkumbuka?Ndo nani uyu. mbona kama namjua hemu nikumbusheni
Dr. SlaaKila mtu aliyetoka CDM mlisema ana siri nyingi sana za chama. Lijualikali alitangaza utayari wake wa kutoa ushahidi kuhusu maovu ya CDM na Mwenyekiti wake. Bado tunasubiri. Mnachosha sana.
Amandla...
Hapa ndipo cdm wanapofeli. Kutoka ukaskazini mpaka Umbulu!Wabulu siyo watu wa kuamini hata kidogo, Slaa kalelewa na Mbowe lakini kamgeuka ni kama dada ake Paulina na wengine
NANI ALIYEMWAMBIA TUPO KUFANYA MAMBO YANAYOMFURAHISHA YEYE? JINGA KABISA HILI LICCMAliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki.
“Katika masuala yaliyoko mahakamani ninaona kwanza kuna sura inatumika, kwenda kule Mahakamani kama sehemu ya siasa kitu ambacho mimi sikubaliani nacho.
“Hivyo sijaenda kwa kuwa ni kitu ambacho sikubaliani nacho, sikubaliani na principal ambayo inatumika, mnaenda kule kisha mnaanza kujipiga picha na mpo kwenye mitandao, hiyo ni siasa, mimi sichezi hizo siasa.
“Mimi nikiamua kumtembelea Mbowe nitaenda nyumbani kwake, sitaki kufanya kitendo cha Mbowe kuwa gerezani kuwa siasa, kama ni kumuombea nitauombea kwa nafsi yangu.
“Niliudhika tangu siku ya kwanza na yale maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema Mbowe siyo gaidi?
“Wanatakiwa kuachia chombo cha haki kitoe maamuzi siyo wananchi.
“Lakini sina chuki na Mbowe wala sina uadui, nimeshakutana na Mbowe mara kadhaa airport, tukakumbatiana, tukabadilishana namba japo hakuna aliyempigia mwenzake,” anasema DK SLAA.
Source: MwanaHalisi
Ungejua sababu ya kuondolewa kwake kwenye ukatibu wa TEC usingeitaja Vatican hapaAnasubiriwa Vatican kurudisha ripoti!
SASA KAMA ALISHAKIMBIA YA MBOWE YANAMHUSU NINI?Dr. Slaa anajitambua sana ndio maana alimkimbia Mbowe na genge lake la kihalifu.
Dr. Slaa ana siri nyingi sana za huyu gaidi.