Thubutu, mdudu na mwambu pamoja ubwabwajaji wao wamenywea, shingo haipiti kichwa wahenga walisema.Maandamano ndo kwanza yameanza,
Maana CCM wamekataa kutubu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutu, mdudu na mwambu pamoja ubwabwajaji wao wamenywea, shingo haipiti kichwa wahenga walisema.Maandamano ndo kwanza yameanza,
Maana CCM wamekataa kutubu!!
Huyo nabii wako naye keshachuja, akapimwe afya ya akiliMaandamano Yako pale pale,
Nabii Lissu pia ametua kuongeza hamasa.
Ikiwa amri atafanya hivyoAkiambiwa amuue mtoto wake atathubutu?
Siyo kweli, si apige pembeniIkiwa amri atafanya hivyo
Ndio kazi ya jeshi ilivyo
Mnyika anasisitiza maandamano, yataelekea UN.Naambiwa hata Silaa naye yumo.