Dkt. Slaa: Polisi wamezingira nyumba ya Mwabukusi na Mdude

Maandamano ya kuongozwa na Mdude ni UPUMBAVU tu!!!!
Yangekuwa ya "upumbavu" kama unavyo sema polisi wasinge hangaika kiasi kile.
Lakini najua akili yako haitoshi kujua hivyo.
 
CCM inawaogpa sana kina Mwambusi 😀 hadi wanapata ulinzi free kwenye makazi yako.
 
Nenda wewe kaharibu kupiga kama hutajiharishia mbele ya mke wako! Usiseme piga sema naenda kupiga ili ukutane na shughuli ya wanaume!
Pumbavu! Hakika wazazi wako wamepata hasara kubwa kwa kuwa na kijana siyo riziki!
 
Yangekuwa ya "upumbavu" kama unavyo sema polisi wasinge hangaika kiasi kile.
Lakini najua akili yako haitoshi kujua hivyo.
Polisi ndiyo kazi yao, wamefunzwa ku deal na wenye akili na WAPUMBAVU pia. Kuna msemo "ukicheka na nyani utavuna mabua". Polisi hawacheki na nyani
 
Sasa unayaita "maandamano ya kipumbavu...", ili u-qualify ujinga ulio andika mwanzo kuhusu "utamaduni wa waTanzania"?
Uchizi wako unajulikana, kwa hiyo sina muda wa kupoteza hapa.
Muda wa kupoteza unao na umekwisha utumia ila haujui kwa vile wewe ni MPUMBAVU
 
Unajua, hizi bangi za kuvuta kabla ya kubarehe huharibu akili moja kwa moja. Angalia kama wewe hapa ulivyo haribikiwa na akili.
 
Polisi ndiyo kazi yao, wamefunzwa ku deal na wenye akili na WAPUMBAVU pia. Kuna msemo "ukicheka na nyani utavuna mabua". Polisi hawacheki na nyani
Polisi ni kifaa tu kinachotumiwa hata na machizi wa aina yako. Ndiyo maana uamzi ukafanywa kukitumia hicho kifaa kuondoa taharuki mnayojua inasababishwa na hayo maandamano.
Najua akili yako haiwezi kukufikisha huko kote.
 
Mwabukusi ana haki ya kulindwa.
Polisi waimarishe ulinzi wa hali ya juu. Ufipq siyo watu wazuri
 
Salaam , Shalom!

Dr. Slaa amesema kuwa amefanikiwa kupata picha ya Police kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi.

Ikumbukwe pia, usiku wa kuamkia leo, Police walivamia Nyumba ya Askofu Mwamakula wakimtafuta bila mafanikio.

Nia ya kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi haijajulikana hadi sasa ikiwa ni kuunga mkono na kushiriki pia maandamano au ni kuyazuia.

Hatimaye harakati za kweli za upinzani zimeanza kuonekana.

Mungu awabariki, sababu HAKI haijawahi kuletwa Bure kwenye sahani, Bali HAKI hupatikana kwa Mapambano ya kuidai.

Source: Za Ndani media Tv, Bongo 24 tv.

Nawasilisha.
Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga. Walikumbushwa shingo haipiti kichwa sasa vilio vya nini. Waliyataka wenyewe, wamebipu wenzao wamepiga.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Salaam , Shalom!

Dr. Slaa amesema kuwa amefanikiwa kupata picha ya Police kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi.

Ikumbukwe pia, usiku wa kuamkia leo, Police walivamia Nyumba ya Askofu Mwamakula wakimtafuta bila mafanikio.

Nia ya kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi haijajulikana hadi sasa ikiwa ni kuunga mkono na kushiriki pia maandamano au ni kuyazuia.

Hatimaye harakati za kweli za upinzani zimeanza kuonekana.

Mungu awabariki, sababu HAKI haijawahi kuletwa Bure kwenye sahani, Bali HAKI hupatikana kwa Mapambano ya kuidai.

Source: Za Ndani media Tv, Bongo 24 tv.

Nawasilisha.
Kale ka wimbo ka kijana acha kupiga mayowe acha watu waone wenyewe aliyenako akaweke tafadhali.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Polisi ni kifaa tu kinachotumiwa hata na machizi wa aina yako. Ndiyo maana uamzi ukafanywa kukitumia hicho kifaa kuondoa taharuki mnayojua inasababishwa na hayo maandamano.
Najua akili yako haiwezi kukufikisha huko kote.
Key word Polisi siyo sawa na waimba kwaya. Ukileta za kuleta lazime wakuhenyeshe
 
Usipoteze lengo hapa. Zungumzia wanao tumia kifaa.
Hicho kifaa siku yoyote kinaweza kutumiwa na hao hao unaowaita wewe "waimba kwaya."
Ndiyo maana nakwambia akili yako iliathiriwa na bange za utotoni, kwa sababu hazina uwezo wa kupambanua mambo.
 
Kama wewe umelelewa kwenye bangi ni wewe tu, endelea nayo
 
Ninakwambia hayo ya bangi kutokana na ulivyoingiza ujinga katika majibu yako. Ukiniletea ukichaa, ninakupa ukichaa hivyo hivyo.
 
Kama akina Slaa, Mdude na Mwabukusi ni walevi na wavuta bangi vivyo hivyo na wafuasi wao kama Kalamu watakuwa wavuta bangi
 
Salaam , Shalom!

Dr. Slaa amesema kuwa amefanikiwa kupata picha ya Police kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi.

Ikumbukwe pia, usiku wa kuamkia leo, Police walivamia Nyumba ya Askofu Mwamakula wakimtafuta bila mafanikio.

Nia ya kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi haijajulikana hadi sasa ikiwa ni kuunga mkono na kushiriki pia maandamano au ni kuyazuia.

Hatimaye harakati za kweli za upinzani zimeanza kuonekana.

Mungu awabariki, sababu HAKI haijawahi kuletwa Bure kwenye sahani, Bali HAKI hupatikana kwa Mapambano ya kuidai.

Source: Za Ndani media Tv, Bongo 24 tv.

Nawasilisha.

Hivi yale maandamano waliyosema akina Mdude na Mwabakusi kuwa yatafanyika piga ua garagaza hata kwa mtalimbo wa Polisi yaliishia wapi? Na akina Mdudu hao wamepotelea wapi? Tulikuwa tunasubiri akina Mdudu na wake zao waandamane ili sisi tuwe tunapiga vigelegele kila wanamopita wanaandamana lakini cha ajabu hawakuonekana maana walisema piga ua garagaza lazima waandamane na kuwa polisi wasingekuwa na ubavu wa kuwazuia.
 
Kama akina Slaa, Mdude na Mwabukusi ni walevi na wavuta bangi vivyo hivyo na wafuasi wao kama Kalamu watakuwa wavuta bangi
Kama ni wavuta bangi wanaojua maslahi ya nchi hii ni yapi, nami sitasita kuungana nao kama bangi zao hizo zina manufaa.
Genge lililoishikilia CCM ya Samia hata kama hayajawahi kuvuta bangi, yatatambulika kuwa mahujumu makuu dhidi ya nchi hii kwa yote yanayo yafanya sasa hivi.
 
Back
Top Bottom