Dkt. Slaa: Polisi wamezingira nyumba ya Mwabukusi na Mdude

Dkt. Slaa: Polisi wamezingira nyumba ya Mwabukusi na Mdude

Kwa hiyo unataka nijibishane kitu gani na mtu wa aina yako, si nitakuwa ninajishushia heshima tu bure humu?
Maandiko yako humu yanajitosheleza kabisa kukujibu mwenyewe.
dah,
hapo umevumila sana najua umeyaporomosha yakutosha kimoyomoyo
 
Hawa wazalendo wanahitaji sana mchango katika tathmini hiyo na hatua zifuatazo. Tusiwaangushe.

Hawa sasa wanabeba kazi nzito sana kwa niaba yetu sote.
kwa niaba ya Jamii ya waporomosha matusi, majambazi na wanyang'anyi wanajificha kwenye mwamvuli maandamano haramu
 
Haya, nitatafuta muda mzuri nikukabili kama hilo ndilo unalo lilia kwa sasa hivi.
tafuta Kaz na uifanye kwa bidii, maandamano haramu yatakusababishia ulemavu na kuiletea familia yako mzigo wa kukulea
 
Duh

Leo tutasikia habari za Mwabukusi tu!
1699548589400.png

Akida mdude woga hatari. Unaona mwanajeshi wa Isreal huyo?
 
Utamaduni wenu ni upi...? Nimeacha kujazia maneno hapo kukustahi tu, mtu kama wewe.
Wewe pimbi andika unachotaka bila kuogopa. Mimi siogopi wase nge kama wewe.

Hatuna utamaduni wa maandamano ya kipumbavu kama hayo yaliyoandaliwa na hayawani Mdude
 
Salaam , Shalom!

Dr. Slaa amesema kuwa amefanikiwa kupata picha ya Police kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi.

Ikumbukwe pia, usiku wa kuamkia leo, Police walivamia Nyumba ya Askofu Mwamakula wakimtafuta bila mafanikio.

Nia ya kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi haijajulikana hadi sasa ikiwa ni kuunga mkono na kushiriki pia maandamano au ni kuyazuia.

Hatimaye harakati za kweli za upinzani zimeanza kuonekana.

Mungu awabariki, sababu HAKI haijawahi kuletwa Bure kwenye sahani, Bali HAKI hupatikana kwa Mapambano ya kuidai.

Source: Za Ndani media Tv, Bongo 24 tv.

Nawasilisha.
Ngoja kwanza. Kwa nini Slaa hawajamzunguka? Pili, Mwambukuzi alidai yuko tayari kuvunjwa miguu: vipi tena, did he get cold feet? Si angetoka? Never mind, walisema kila tarehe 9 TUtaandamana tusubiri 9 Desemba sherehe za Uhuru wa Tanzania Bara.
 
Hahaha huyu macho mdlko hanaga noma na mtu lakini leo amefurumuana na mwana ccm wanatukanana hatar
Unajua si sawa raia ndani ya nchi yake kuwa treated kama gaidi!!

Imagine Mdude na familia yake wanaishi vipi !!!

Mtu anapokudhihaki unapotenda HAKI lazima uwe na mixed feeling.
 
Ngoja kwanza. Kwa nini Slaa hawajamzunguka? Pili, Mwambukuzi alidai yuko tayari kuvunjwa miguu: vipi tena, did he get cold feet? Si angetoka? Never mind, walisema kila tarehe 9 TUtaandamana tusubiri 9 Desemba sherehe za Uhuru wa Tanzania Bara.
Mbona hueleweki?
 
Kishindo Cha WAKOMA kimewasababisha polisi kutotulia tangu Jana usiku.

Ni Rahisi kuzuia WAPINZANI,

Lakini Haiwezekani kuzuia Upinzani.

Tuendelee kupaza sauti za HAKI Hadi pale Tanganyika yetu itakapoheshimika.
 
Wewe pimbi andika unachotaka bila kuogopa. Mimi siogopi wase nge kama wewe.

Hatuna utamaduni wa maandamano ya kipumbavu kama hayo yaliyoandaliwa na hayawani Mdude
Sasa unayaita "maandamano ya kipumbavu...", ili u-qualify ujinga ulio andika mwanzo kuhusu "utamaduni wa waTanzania"?
Uchizi wako unajulikana, kwa hiyo sina muda wa kupoteza hapa.
 
Sasa unayaita "maandamano ya kipumbavu...", ili u-qualify ujinga ulio andika mwanzo kuhusu "utamaduni wa waTanzania"?
Uchizi wako unajulikana, kwa hiyo sina muda wa kupoteza hapa.
Maandamano ya kuongozwa na Mdude ni UPUMBAVU tu!!!!
 
Back
Top Bottom