Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
nimesikitika tu hakuna taya na viuno vilichopindishwa hapo kidogo wameteleza....Tuungane kwakweli kuwapongeza Police kuitikia wito wa maandamano tangu Jana usiku.
Ajira za police hazina security, RPC anaweza kumtimua police na asikate Rufaa kokote.
Ndani ya Katiba mpya ajira zao zitalindwa hivyo police wapongezwe Kwa kuitikia na kushiriki maandamano.
Message sent, Dunia inajua nini kumejiri Mbeya.
Aluta continua.
Ilitakiwa majambazi na waandamanaji haramu kadhaa wawe wanaita thimu badala ya simu, thatha badala ya sasa , humia badala ya umia n.k.n.k