Dkt. Slaa: Polisi wamezingira nyumba ya Mwabukusi na Mdude

Dkt. Slaa: Polisi wamezingira nyumba ya Mwabukusi na Mdude

Kamata waduwanzi wenzio huko, mna roho mbovu mnoo nyie nyama, pesa mmeweka mbele kuliko utu, mnaweza kuwa washikaji lakini likimfika jambo hata msaada hauumpi sana sana akija kwako unamkimbia😡😠
Sio mimi kwa asilimia kubwa jamii haiwapendi.
Fresh tu

Makavel kwanini unatumia ID Feki?

Jitambulishe tukufahamu ndg mtanzania makini

Askari ni kazi nzuri sana na yenye manufaa mengi hapa duniani inategemea tu na aina ya mtu unakutana nae

Kwani hakuna wafanyabiashara wenzio Wana roho mbaya na hawanaga msaada ukiwa na shida??

PT NDIO INAKUFANYA UNAAMKA KWAKO KWA AMANI NDG
 
Mtulie tulii nchi inajengwa hii

Serikali inawapenda watu wa Mbeya machafuko sio pahala pale

Askari atuwezi kubali hilo
Ujenzi wa zaidi ya miaka 60 haituhusu.

Kutembea matembezi ya Amani ndani ya nchi yetu kudai tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya, kupinga kukodishwa Bandari zetu ni HAKI yetu kikatiba.

Police walinde Amani, Si kutisha watu.
 
Fresh tu

Makavel kwanini unatumia ID Feki?

Jitambulishe tukufahamu ndg mtanzania makini

Askari ni kazi nzuri sana na yenye manufaa mengi hapa duniani inategemea tu na aina ya mtu unakutana nae

Kwani hakuna wafanyabiashara wenzio Wana roho mbaya na hawanaga msaada ukiwa na shida??

PT NDIO INAKUFANYA UNAAMKA KWAKO KWA AMANI NDG
We mbona unatumia id feki!?

Shida nyie askari wa bongo wengi wenu ni waduwanzi mnoo, na ndio mnaharibu sifa ya upolisi.

Hamtendi haki, mnatumika hovyo na wenye pesa na wanasiasa.
 
Fresh tu

Makavel kwanini unatumia ID Feki?

Jitambulishe tukufahamu ndg mtanzania makini

Askari ni kazi nzuri sana na yenye manufaa mengi hapa duniani inategemea tu na aina ya mtu unakutana nae

Kwani hakuna wafanyabiashara wenzio Wana roho mbaya na hawanaga msaada ukiwa na shida??

PT NDIO INAKUFANYA UNAAMKA KWAKO KWA AMANI NDG
Police ni kaka na dada zetu.

Wanafanya KAZI nzuri kulinda HAKI za raia na Mali zao.

Fuateni tu SHERIA.

Maandamano ni HAKI kikatiba, yalindeni Kwa Amani kabisa.

Nchi ni yetu sote.

Ikiwa hamjapewa posho, tuambieni tuwatetee mlipwe Kwa KAZI ya kulinda Amani kwenye maandamano ya Leo.
 
Kalamu,

Uliuliza ni njia zipi zitatumika kuhakikisha tunapata Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya 2025,

Naamini umeanza kuelewa.
 
Polisi ni mijitu sitaki hata kuisikia.

Juzi kati natoka maeneo fulani, na pikipiki napigwa mkono na mshikaji, nikasimama, akaniuliza unaelekea wapi nikamjibu akasema nae anaenda maeneo hayo nimsogeze, nilivyomcheki nikaona fresh wacha nimsaidie dizaini ni kama mwanachuo aliyemaliza miaka kadhaa mtaani life limempiga.

Nikamruhusu akalie chombo, njiani sikutaka maswali mengi, nikafika sehemu ninapoishia mimi, ye anaendelea na safari, kushuka anaanza kuleta stori, mwisho nikajua ni askari akanionesha na pingu kuna mwizi gani sijui anaenda kumkamata, nikajisikia vibaya sana kwanini nilimpa lifti kenge yule., nikatamani hata nimdai nauli, nikaona sio fresh.
Akaomba tubadilishane namba za simu nikamchomolea.

We kenge uliyepandia maeneo ya mikwambe pale, ukaja shukia mjimwema una bahati hukujitaja mapema nisingekupa lifti.
sijawahi kuona jinga km wewe, askari anaenda kumkamata mwizi bado unamtukana? Kwanza umeandika uwongo ili ujifurahishe we zuzu. Jeshi letu lina vitendea kazi siyo hilo pikipiki lako la kimaskini. Bwege kweli, utakuwa unashirikiana na wezi.
 
Galagabahao
 
Back
Top Bottom