Dkt. Slaa: Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu alipokuwa anaumwa

Kwa wanaodhani huyu anajiongelesha tu muweke nukuu. He is a man of principal na kila kauli yake ina uzito, soon you will see what he means to all Tanzanians...Am just happy, a bouncing back of patriots!
Lugha yetu ni nzuri sana. Itumie utaeleweka. Acha kukimbilia lugha za wengine na kuzitumia hovyohovyo kama ulivyofanya hapa.

Huyo mtu wako hana lolote na si chochote bali tapeli anayefanikiwa kukoga nyoyo za watu wenye ufinyu wa kuelewa mambo kama wewe.
 
Ila wanadam bas tu!! Yaan mtu anakejeli yule alieshambuliwa kwa risas mingi ila MUNGU akamponya na kusema ni kitu cha kawaida kbs. Lkn analalamika kutopewa nafas ya kuombea waliokufa!! Ni vzr tukadili na walio hai. Maana MUNGU wetu ni wa walio hai sio MUNGU wa wafu!!!
 
Nyie nao tumeshawachoka habari ya risasi za Lissu, kila hoja ikiletwa hapa mnaingiza upupu wenu huo

Umechoka kisa Ni Lissu kisa sio mwana Chama wa CCM. Ila ingekuwa ni mmewako amefanyiwa vile usingechoka, labda hata ungenyinyonga kutokana na hasira

Ukimuona mwenzako anaonewa usimkebehi maana machungu alioyo nayo huyafahamu.
 
Watu wa Msoga ndio walikuzuia usivae barakoa?

Watu wa Msoga ndio walikupangia ratiba ngumu hadi ya kulala na mafile ofisini wakati unajijua mgonjwa?

Watu wa Msoga ndio walikuzuia usisafiri usiende kupata matibabu stahiki ya Maradhi yako?

yale matangazo ya makampuni ya Simu kuwa '…Makosa yatatozwa…' yanakuwa applicable kwny eneo lingine la maisha pia
Yuko sahihi kabisa....

Wale watu wa Msoga waleeee!

Mungu anawaona sana......
 
Mzee naona ana chuki na chadema....alivyoenda CCM akauza siri zote alijua chadema itakufa. Anachukia kuona ndo kwanza chadema inachanja mbuga
 
Majaliwa alituambia ni mzima anachapa kazi.
Slaha angeanza na aliyetuambia anapanga mafaili.Ningekuwa mwanafamilia ningemfungulia mashitaka Katelephone kuwaambia wananchi anachapa mzigo
 
Kumbe magufuli alikuwa baba yake?? Duh puaaaaa puaaa puawaaaa kabisa .....
 
Polepole boss
 
Ahahaha

Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…