Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida

Kazee kana 70+ kana Ng'ang'ana na demu wa 40, Oneday katakuja kufia kifuani
Lakini atakufa kifuani akiwa na tabasamu usoni.

Wewe unauhakika wa kufa kifo cha aina hiyo? Sidhani.
 
Hats siku moja mnafiki hawezi ongea ukweli......

Dr slaaa ni mnafiki twende mbele turudi nyuma slaa anamfaham vzr Tundulissu na harakat zake Leo kapewa cheo tu kasahau kla kitu . .... .
Dunia hadaa walimwengu shujaa
Pona haraka Tundulisu uje uone wanafiki uliokuwa unawalindia hekima kichama
 

Ni sawa Daktari suala la upelelezi ni kazi ya vyombo vya dola. Lakini, matukio uliyoyataja yanafanana na tukio la Lissu? Lissu ameshambuliwa eneo lililoko chini ya ulinzi wa serikali ukihusisha watu na camera ila siku hiyo cha ajabu vyote havikuwepo kama inavyosemakana, pamoja na central polisi kuwa karibu ati walinda usalama walifika baada ya masaa mawili kupita!!!

Wallah vile yupo anayewaona. Ukiua kwa upanga utauawa kwa upanga, malipo nia hapa ni hapa duniani.
 
Tukikumbuka msimamo alokuwa nao kwenye tukio la sweto tutapata pa kuanzia kumjadili dr Slaa
 
Taarifa alizotoa Lissu kabla ya kupigwa risasi Slaa haziamini! Polisi wangekuwa na nia ya dhati upelelezi wao ungeanzia hapo.
 
Bado nasisitiza mfumo wa vyama vingi haulisaidii taifa hili kwa sababu ni kitu ambacho kililazimishwa kwa nguvu na matokeo yake ni uadui ambao hautaisha.
Labda siku za mbele watanzania watakaokuwepo watajadili na kuuweka sawa mfumo wa vyama vingi ili kila raia awe na haki sawa bila kujali upande aliopo.
 
Yeye ile list of shame alikwenda kutoa taarifa Polisi au TAKUKURU? Au anavyokomaa kuwa Lowasa ni fisadi kuna taarifa yoyote aliyoipeleka TAKUKURU?
Msomi ambaye hakumbuki alichokisema ni wa kutiliwa mashaka. Tatizo la njaa ni kuuza hata utu. Amemsahsu Esau pia aliuza ukuu wa kwa chakula kidogo cha Dengu. Njaa mbaya ndugu zangu. Ukiwa na njaa kitu cha kwanza ni kuwa na mawazo mgando. Tumsamehe
 
sakata la Dr Slaa kwa jicho la kiroho
 
Reactions: 911
[emoji1] [emoji1]
basi si wawape Ruhusa FBI walete ushahidi,
c walisema wanaliweza ilo swala, basi kama hakuna ushahidi wa kutosha, wawa achie na FBI tuone kama hatuta kama mwizi ndani ya ___
[emoji12] [emoji12]
 
Mungu na aepushe mbali mawazo ya kishetani kama haya! Tangu lini kupigwa risasi binadamu likawa jambo la kawaida? Hata kwa wanyama porini siyo la kawaida kama huna kibali cha kuwinda.
 
Hakuna tukio hata moja kati ya uliyoyasema hapo ambalo ni la kawaida!!
 
Naomba unikumbushe,baada ya kamanda Barlow (aliyekuwa kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza kuuwawa usiku wa manane).
Asubuhi ya siku iliyofuata walikamatwa watuhumiwa katika maeneo mbali mbali ikiwemo Dar-es-salaam!
Hebu nambie ni nani alienda kushtaki polisi?
Lissu kwa mujibu wa taarifa alishambuliwa mchana kweupe,nyumbani kwake,na kamwera zaikiwa kila mahali,bado tunasubiri mtu akatoe taarifa polisi??ili kubaini washambuliaji?
KATIKA HAYA MATENDO YA KINYAMA,NADHANI KAMA KWELI MUNGU YUPO,TUTAONA MATOKEO YAKE,MAANA MAANDIKO YANASEMA YEYE NI MUNGU WA HAKI,LAKINI KAMA WATU WATAKUWA WENYE FURAHA NA MAISHA YAO YATAKUWA YENYE BARAKA,I THINK THERE WILL BE NO GOD,VITABU VITAKATIFU VITAKUWA VIMETUDANGANYA!
 
Hichi kibabu na chenyewe kinahitaji kuombewa ukichaa ukitoke.
 
Elimu uliyoipata bado haijakukomboa kifikra uliyo nayo inakusaidia kutumia smat fon tu kama wameshindwa alipo ben saanane ya lissu watayaweza? Kombe wanajulikana waliompiga risasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…