Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida

Jamani hebu muoneeni huruma Dr Slaa. Hivi kweli mlitaka asemeje? Ubalozi wenyewe hata kuapishwa bado, kupangiwa kituo bado! Au mnafurahi mnavyosikia anauza supermarket huko 'ke-nada'? Please, hebu tuwe realistic and fair.
 
Jamani hebu muoneeni huruma Dr Slaa. Hivi kweli mlitaka asemeje? Ubalozi wenyewe hata kuapishwa bado, kupangiwa kituo bado! Au mnafurahi mnavyosikia anauza supermarket huko 'ke-nada'? Please, hebu tuwe realistic and fair.
Umemtetea vizuri lakini unajua fika kua kaongea pumba
 
Reactions: SMU
Duh kweli ukistaajab ya musa utayaona ya .... Yeye si alikua anatembea majukwaani akidai anawindwa? Sijaona sehem alipotoa taarifa polisi...
 
Sijutii kupingana na Dr.Slaa Wakati alipokuwa CHADEMA!!

idawa
Umemtag [B]idawa[/B] ukamsahau [B]MTAZAMO[/B]...kwa hao jamaa Dr Slaa aliyehamia Chadema akiutafuta ubunge eti ndiye alikuwa mpinzani wa kweli. Wakati wana mageuzi tunapigwa virungu tukidai mfumo wa vyama vingi Dr. Slaa alikuwa anakula kivulini kwenye kambi ya CCM. Alipotoswa akasetiriwa na Chadema na kuukwaa ubunge.
 
Naona anasahau aliyokuwa akiyadema yeye mwenyewe wakati akiwa KM wa Chadema. Tulikuwa tukisikia akilalama kila siku kufuatiliwa na hata kutaka kuuwawa! Ya Kanada anajua kwamba polisi wanafanya kazi na kutoa feedback na hasa kwa matukio ambayo ni high profile. Je anaweza kutuambia hapa kwetu polisi walishatoa ripoti kuhusu matukio kama hayo - yakiwemo yale ya Arusha na kwingineko.
 
Na sisi tutaendelea kumficha dereva ili lulwamisha upelelezi.
 
Nimesoma bandiko lote sijaona pahali Dr. Slaa kamtolea uvivu Tundu Lissu. Ngoja ntarudia tena labda kuna pahala nimeruka.
 
Mzee wa Mihogo aache fix. Mtu akipigwa shaba Canada, wahusika watasakwa na kukamatwa within the shortest time possible. Huyu mzee tumbo linampeleka ndivyo sivyo.
 
Ameshapewa kipande chake cha mkate aende zake akale na Mshumbuz huko asikae kutupigia kelele
 
na wasiojulikana si walitajwa na polisi au? si ndo hao au anamaanisha nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…