Hahahaaa..Katika maisha jiamini wewe mwenyewe tu.
Nani alidhani maneno kama haya yangetoka kwa huyu mzee!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa..Katika maisha jiamini wewe mwenyewe tu.
Nani alidhani maneno kama haya yangetoka kwa huyu mzee!!
Hahaa..wazirudishe kweli mkuu!Kama hakuna ushahidi wa kutosha turudishe Zila Camera tu eneo la tokeo
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai!!, Dkt. Slaa choka mbayaaa!!, Mnafiki mzuri tu!Dr Slaa kasema ni tukio la kawaida? Kama ni kweli ameongea haya maneno nitamtoa maanani moja kwa moja!
Nadhani anataka kutumika kuendesha propaganda kuwa Lissu hakushambuliwa kwasababu za kisiasa!
Ukisoma btn the lines, kusema ni tukio la kawaida, ni kudownplay tukio zima!
Ubalozi aliopewa, naona mojawapo ya masharti, ni “ubalozi wa propaganda dhidi ya Lissu”
Naona sasa karata ya serikali ya ccm dhidi ya Lissu ni Slaa!
Yan huyu eti kwake Canada imekuwa kama Mbingu...kila kitu Canada Canada...Mimi niko Canada mauaji yapo kila siku na watu wanapotea, wanapigwa risasi wakiulizwa polisi wanakwambia suala hilo liko kwenye upelelezi tukifikia hatua nzuri tutatoa taarifa”.
Ni kweli kabisa na kila siku nimeendelea kusema humu JF ya kuwa hakuna ushahidi wa kutosha unathibitisha mtu aliyemdungua Lissu risasi. Nikaendelea kuwapa member walalamishi wasiotaka kuelewa wakereketwa wa upande wa pili kama wana evidence wapeleke polisi haki itendeke washukiwa wafikishwe kortini.
Note;"huna haki ya kuzungumza pasipo kuwa na ushahidi wa kile unachokizungumza"