Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
No reform bado inaendelea.Dkt Wilbroad Slaa akizungumza na wananchi wa Bukoba mjini katika ziara ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambacho kinakwenda na kauli mbiu ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
View attachment 3328853
mzee slaa ni muongo na mara zote ni mropokaji mpotoshaji sana πDkt Wilbroad Slaa akizungumza na wananchi wa Bukoba mjini katika ziara ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambacho kinakwenda na kauli mbiu ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
View attachment 3328853
Ulitangulia vichakani? πππmzee slaa ni muongo na mara zote ni mropokaji mpotoshaji sana π
kazee kaongo hako dah! πUlitangulia vichakani? πππ
Mkono wa kushoto wa Dr. Slaa, kwa niuonavyo, hauko sawa.Dkt Wilbroad Slaa akizungumza na wananchi wa Bukoba mjini katika ziara ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambacho kinakwenda na kauli mbiu ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
View attachment 3328853
Unapita ukiwa na escort ya wanajeshi.ππ
Nimewahi kukatisha ile shortcut ya Bukombe hadi Bukoba niliona kuzunguka Nyakanazi hadi Bihalamuro ni mbali
Ilikuwa Hatari na nusu 2004 hiyo dadeki
Sidhani kama kuna Mtanzania anayekuzidi wewe kwa upotoshaji.mzee slaa ni muongo na mara zote ni mropokaji mpotoshaji sana π
hako kazee kwasabb ya uongo ndio maana kanakimbiwa na familia πSidhani kama kuna Mtanzania anayekuzidi wewe kwa upotoshaji.
Kuna hujuma kubwa snJana nako Polisi walikuwa wakiwatisha wananchi kwamba wakienda kwenye mkutano wa CHADEMA watavunjwa miguu.
Sasa hivi ni lami tu. Inaanzia Runzewe hadi Bwanga. Kisha unaunga Chato hadi home, Bukoba!ππ
Nimewahi kukatisha ile shortcut ya Bukombe hadi Bukoba niliona kuzunguka Nyakanazi hadi Bihalamuro ni mbali
Ilikuwa Hatari na nusu 2004 hiyo dadeki
RIP Shujaa MagufuliSasa hivi ni lami tu. Inaanzia Runzewe hadi Bwanga. Kisha unaunga Chato hadi home, Bukoba!
πππππDkt Wilbroad Slaa akizungumza na wananchi wa Bukoba mjini katika ziara ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambacho kinakwenda na kauli mbiu ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
View attachment 3328853