PreGE2025 Dkt. Slaa: Tulivyokuwa njiani OCD alitaka kutupitisha njia ya porini tukakataa

PreGE2025 Dkt. Slaa: Tulivyokuwa njiani OCD alitaka kutupitisha njia ya porini tukakataa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
mzee slaa ni muongo na mara zote ni mropokaji mpotoshaji sana 🐒
Upo sahihi ila wanafaa kwa vipindi vyake ila si wakumuamini sana ,apo anavuta punzi akatiwe na yeye fungu lake alafu anazuga zuga huyoo anarudi zake kanada kisha anaanza kuwapiga madongo tena.
 
Upo sahihi ila wanafaa kwa vipindi vyake ila si wakumuamini sana ,apo anavuta punzi akatiwe na yeye fungu lake alafu anazuga zuga huyoo anarudi zake kanada kisha anaanza kuwapiga madongo tena.
uko sahihi gentleman,
wengi hawamjui huyo mzee kwenye kutafuta pesa kwa kiki za kuatract public sympathy 💪👊
 
**** siku utaweza kufanya argument kama sennsible creature? Au wewe ni wa hivyo hivyo?
In fact hako kazee ni kaongo mno always gentleman,
Kana tabia mbaya ya kusema uzushi ili kutafuta tension na kiki na kua tract public sympathy 🐒
 
Ujinga wa Wapinzani ni kutoamini kuwa silaa ni ccm na ni mtumishi wa serikali anakumbatia maslahi ya ccm na familia yake
 
Ulitangulia vichakani? 😂😂😂
Hii Nchi kwa sasa mimi siielewi elewi nahisi kama nipo kwenye Nchi ngeni kabisa kutokana na yale tunayoyasikia !
Duh 🙄 ! I hope it’s just a dream 🛌 !
Sidhani kama tumefika huko kwa kweli 🙌🙏🤷‍♂️ !
 
Back
Top Bottom