PreGE2025 Dkt. Slaa: Tulivyokuwa njiani OCD alitaka kutupitisha njia ya porini tukakataa

PreGE2025 Dkt. Slaa: Tulivyokuwa njiani OCD alitaka kutupitisha njia ya porini tukakataa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Anawazidi veggies 😹
calm down mtumishi,
kazee kana stress na wenge za kuachwa na mke aliepora kwa mwanaume mwenzie.

kanatafuta tension na kuatract public sympathy kilofa sana aise dah 🐒
 
Unatuchosha na upumbavu wako, kwanini usikae kimya kidogo?
Gentleman,
ni muhimu sana kwa wachovu na wavivu kama wewe kuepuka kunifuatilia, kwasabb mtachoka zaidi na mambo ya kweli na msingi zaidi ninayoyaeleza humu jukwani bila kificho.

waeleze na wachovu wenzio wenye mihemko 🐒
 
Jana nako Polisi walikuwa wakiwatisha wananchi kwamba wakienda kwenye mkutano wa CHADEMA watavunjwa miguu.
Lakini wananchi wakaghaili; wakaenda kwenye mkutano. Mwishowe wananchi watajuwa nini la kufanya kuhusu vitisho vya namna hiyo.
 
Lakini wananchi wakaghaili; wakaenda kwenye mkutano. Mwishowe wananchi watajuwa nini la kufanya kuhusu vitisho vya namna hiyo.
Kampeni sasa zinaingia Geita ngoja tuone kama Mapolisi wataendelea na harassment.
 
Back
Top Bottom