PreGE2025 Dkt. Slaa: Tulivyokuwa njiani OCD alitaka kutupitisha njia ya porini tukakataa

PreGE2025 Dkt. Slaa: Tulivyokuwa njiani OCD alitaka kutupitisha njia ya porini tukakataa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tangu asaliti ukawa huyo mzee na lipumba wameonesha rangi halisia za wanasiasa walio wengi hapa Tanzania.

Aliwashambulia akina Lisu wakati ule anakula pesa za ubalozi ,leo hii karudi chadema.....wanasiasa na shetani ni ndugu wa karibu mno!
 
Huyo mze hata Terito mwenyewe amejikana

Hakuna kitu hapo

Anatafuta kwenyr kiki tu
hata wadau wengi wa JF wanajiuliza, kwamba kizee kimejichokea huko kinababaika nini kudanganya umma badala ya kulea wajukuu nyumbani 🐒
 
hata wadau wengi wa JF wanajiuliza, kwamba kizee kimejichokea huko kinababaika nini kudanganya umma badala ya kulea wajukuu nyumbani 🐒
Ana mahangaiko tu

Alipowasaliti wenzake 2015 ulikua ni mwendelezo tu wa kusaliti

Kanisa
Mama watoto
BWANA mahimbo
Chakademus
Lissu
Baadaye ccm

And soon ataikana chakandumuz
 
Back
Top Bottom