gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Huyu mzee huwa mjinga mjinga sana, kwamba wangedhuriwa huko.. halafu watu huwasifu mapadre wamesomaDkt Wilbroad Slaa akizungumza na wananchi wa Bukoba mjini katika ziara ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambacho kinakwenda na kauli mbiu ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
View attachment 3328853
Ilijengwa lini?Sasa hivi ni lami tu. Inaanzia Runzewe hadi Bwanga. Kisha unaunga Chato hadi home, Bukoba!
Huyo mze hata mwenyewe amejikanahako kazee kwasabb ya uongo ndio maana kanakimbiwa na familia π
Kwamba haipo ama?Ilijengwa lini?
Ndivyo swali lisemavyo?Kwamba haipo ama?
hata wadau wengi wa JF wanajiuliza, kwamba kizee kimejichokea huko kinababaika nini kudanganya umma badala ya kulea wajukuu nyumbani πHuyo mze hata Terito mwenyewe amejikana
Hakuna kitu hapo
Anatafuta kwenyr kiki tu
Dah! Nahisi HAIPO.Ndivyo swali lisemavyo?
Endelea Kusifu Baada Ya Kushiba Ubwabwamzee slaa ni muongo na mara zote ni mropokaji mpotoshaji sana π
ukweli ni Lazima usemwe bila kificho πEndelea Kusifu Baada Ya Kushiba Ubwabwa
Alikugonga kwa mkopo?kazee kaongo hako dah! π
Habari ya mjini hiiNO REFORMS NO ELECTION
Ana mahangaiko tuhata wadau wengi wa JF wanajiuliza, kwamba kizee kimejichokea huko kinababaika nini kudanganya umma badala ya kulea wajukuu nyumbani π
Umeelewa alichokiongea?πππππ
mzee anajua kuwaokota sana
Sasa hivi chakandumuz hakuna watekaji?
Kwa mfano kama alichosema ni kweli.... Wewe Roho Yako inataka kuchomokea Toka Upande upi!?mzee slaa ni muongo na mara zote ni mropokaji mpotoshaji sana π
Namuelewa aana huyo padre wangu wa miaka ile kule umangβatiniUmeelewa alichokiongea?
Watu wa kule nimeona wanaume watatu na mmoja tulisoma nae wana hivo vimikono upande wa kushoto.Mkono wa kushoto wa Dr. Slaa, kwa niuonavyo, hauko sawa.
Mlitangulia kuwasubiria huko mbele muwateke nini?Huyu mzee huwa mjinga mjinga sana, kwamba wangedhuriwa huko.. halafu watu huwasifu mapadre wamesoma
hakuna mfano gentleman,Kwa mfano kama alichosema ni kweli.... Wewe Roho Yako inataka kuchomokea Toka Upande upi!?