PreGE2025 Dkt. Slaa: Tulivyokuwa njiani OCD alitaka kutupitisha njia ya porini tukakataa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
mzee slaa ni muongo na mara zote ni mropokaji mpotoshaji sana πŸ’
Upo sahihi ila wanafaa kwa vipindi vyake ila si wakumuamini sana ,apo anavuta punzi akatiwe na yeye fungu lake alafu anazuga zuga huyoo anarudi zake kanada kisha anaanza kuwapiga madongo tena.
 
Upo sahihi ila wanafaa kwa vipindi vyake ila si wakumuamini sana ,apo anavuta punzi akatiwe na yeye fungu lake alafu anazuga zuga huyoo anarudi zake kanada kisha anaanza kuwapiga madongo tena.
uko sahihi gentleman,
wengi hawamjui huyo mzee kwenye kutafuta pesa kwa kiki za kuatract public sympathy πŸ’ͺπŸ‘Š
 
**** siku utaweza kufanya argument kama sennsible creature? Au wewe ni wa hivyo hivyo?
In fact hako kazee ni kaongo mno always gentleman,
Kana tabia mbaya ya kusema uzushi ili kutafuta tension na kiki na kua tract public sympathy πŸ’
 
Ujinga wa Wapinzani ni kutoamini kuwa silaa ni ccm na ni mtumishi wa serikali anakumbatia maslahi ya ccm na familia yake
 
Kule kilwa Road maeneo ya ufundi nimeona land cruiser nyingi sana za mapolisi.
Jana nako Polisi walikuwa wakiwatisha wananchi kwamba wakienda kwenye mkutano wa CHADEMA watavunjwa miguu
 
Ulitangulia vichakani? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii Nchi kwa sasa mimi siielewi elewi nahisi kama nipo kwenye Nchi ngeni kabisa kutokana na yale tunayoyasikia !
Duh πŸ™„ ! I hope it’s just a dream πŸ›Œ !
Sidhani kama tumefika huko kwa kweli πŸ™ŒπŸ™πŸ€·β€β™‚οΈ !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…