Dkt. Slaa: Tunapinga uwekezaji wa DP World sababu Mkataba wake una sura ya wizi na ufisadi

Dkt. Slaa: Tunapinga uwekezaji wa DP World sababu Mkataba wake una sura ya wizi na ufisadi

Haya yote yalisababishwa na Magufuli kwa hiyo ni vigumu kuanza kupayuka sasa na hadhithi zake wakati alimkumbatia Magufuli na kubariki kila ushenzi aliokuwa anafanya bila kupinga naona taabu sana kumsikiliza huyo mzee anakera na kujifanya kasoma na anaamini mungu wakati Magufuli anaua na kupiga mabomu ofisi za watu na kutaifisha mali za watu yeye alikuwa wapi??
Swali unadhani kwa kuwa Dr Slaa alinyamaza wakati wa JPM unadhani
 
Safi sana,mmeonyesha njia,kazi kwetu wananchi kulinda rasilimali zetu au kuziacha ziende kwenye mikono ya waaarabu
Raslimali ya kwanza ni watu.Wakati Magufuli anawaua na kuwapora mali zao ardhi wao walikuwa wapi leo wameamka kwa sababu Samia ni mwanamke? Naomba tuanze kujadili kila kitu kwani ufedhuli wa serikali ya Tanzania haujaanza leo au jana kila raisi alikuwa anafanya yake haya ndio yamewaamsha hao wapambanaji Mawakili tuna shukuru lakini Slaa ni mchumia tumbo wawe makini nae wasimwamini alikuwa na Magufuli kakosa cheo leo ameamka hapa jamani msiruke mkojo mkakanyaga mavi
 
Tunapinga wizi wa mikataba ya aina hiyo kama huo wa bandari na DP world
Mikataba mingi Tanzania ni ya kiwiziwizi kwa hiyo uapinga mingapi wasomi wa Tanzania walikwenda shule gani au ni wale wa vyeti fake kutoka vyuo fake??Au wameiba mitihani?? Hayo ndio madhara ya elimu mbovu rushwa kila kona
 
Eti una "sura".


Yeye "sura" yake kishaiona, amjibu Rostam Aziz aliyemwabia kahongwa. Kuhungwa kama si ufisadi ni nini? Alikanusha au alimfungulia kesi Rosta kwa kumchafua, sia ana hao wanasheruia uchwara karibu yake.

Mama hatojibu ujinga huu, watateseka sana.

Hao wabaki na sisi tu mitandaoni tuwape darsa. Haya, (bofya chini hapo) mbona hawayaongelei?

Nani mwenye muda wa kuhangaika nawe bibi?!
 
si kwa ubaya lakini huyu mzee anasura ya kiwizi tofauti na huo mkataba ni kama anajisema ivi
 
Warekebishe mapungufu na tunataka Katiba mpya.
Hapa hakuna swala la kurekebisha mapungufu,the whole agreement must be scraped,na hatutaki tena CCM isimamie mambo yetu,it must go,we want a completely different setting,it has lost all credibity.Miaka nenda miaka rudi ni mikataba mibovu,rushwa na ufisadi kila eneo,Hakuna kuwajibishana,no we are fed up,CCM imepoteza trust ya Watanzania it must be uprooted by all possible means.
 
Kudddeki watu wamevurungwa tena siyo kivilee
Bado kitambo kidogo sana hata watawala wataujuwa umuhimu wa katiba
 
Back
Top Bottom