Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 490
- 1,351
Swali unadhani kwa kuwa Dr Slaa alinyamaza wakati wa JPM unadhaniHaya yote yalisababishwa na Magufuli kwa hiyo ni vigumu kuanza kupayuka sasa na hadhithi zake wakati alimkumbatia Magufuli na kubariki kila ushenzi aliokuwa anafanya bila kupinga naona taabu sana kumsikiliza huyo mzee anakera na kujifanya kasoma na anaamini mungu wakati Magufuli anaua na kupiga mabomu ofisi za watu na kutaifisha mali za watu yeye alikuwa wapi??
Raslimali ya kwanza ni watu.Wakati Magufuli anawaua na kuwapora mali zao ardhi wao walikuwa wapi leo wameamka kwa sababu Samia ni mwanamke? Naomba tuanze kujadili kila kitu kwani ufedhuli wa serikali ya Tanzania haujaanza leo au jana kila raisi alikuwa anafanya yake haya ndio yamewaamsha hao wapambanaji Mawakili tuna shukuru lakini Slaa ni mchumia tumbo wawe makini nae wasimwamini alikuwa na Magufuli kakosa cheo leo ameamka hapa jamani msiruke mkojo mkakanyaga maviSafi sana,mmeonyesha njia,kazi kwetu wananchi kulinda rasilimali zetu au kuziacha ziende kwenye mikono ya waaarabu
NdioSwali unadhani kwa kuwa Dr Slaa alinyamaza wakati wa JPM unadhani
Ndio
Mikataba mingi Tanzania ni ya kiwiziwizi kwa hiyo uapinga mingapi wasomi wa Tanzania walikwenda shule gani au ni wale wa vyeti fake kutoka vyuo fake??Au wameiba mitihani?? Hayo ndio madhara ya elimu mbovu rushwa kila konaTunapinga wizi wa mikataba ya aina hiyo kama huo wa bandari na DP world
Nafikiri umenielewaHalikuisha swali langu nilimaanisha hayo anayoyasema yana ukweli au hayana ukweli. Maana kutosema wakati fulani haikuzuii kusemea mabaya mengine ya wakati mwingine
Nani mwenye muda wa kuhangaika nawe bibi?!Eti una "sura".
Yeye "sura" yake kishaiona, amjibu Rostam Aziz aliyemwabia kahongwa. Kuhungwa kama si ufisadi ni nini? Alikanusha au alimfungulia kesi Rosta kwa kumchafua, sia ana hao wanasheruia uchwara karibu yake.
Mama hatojibu ujinga huu, watateseka sana.
Hao wabaki na sisi tu mitandaoni tuwape darsa. Haya, (bofya chini hapo) mbona hawayaongelei?
Madudu yaliyoibuliwa bandarini na Rais Samia mbona hayasemwi?
Miezi michache baada ya kuapishwa Urais. Rais Samia Suluhu Hassan alivunja bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Shirika la Meli kwa kuwaondoa wenyeviti wake baada ya kutoridhishwa na utendaji wao. Rais Samia alitangaza uamuzi huo Jumamosi Desemba 4, 2021 wakati wa uzinduzi wa gati namba...www.jamiiforums.com
Mdokozi 😅😅Hivi kwa lugha ya Staha mwizi anaitwaje ?
Rostam yule mropokaji aliyeomba msamaha kwa kuropoka kwake au mwingine?!Rostam kasema wazi wazi alihongwa.
Tatizo unaangalia past zaidi huangalii hoja ya mzungumzajiNafikiri umenielewa
Hapa hakuna swala la kurekebisha mapungufu,the whole agreement must be scraped,na hatutaki tena CCM isimamie mambo yetu,it must go,we want a completely different setting,it has lost all credibity.Miaka nenda miaka rudi ni mikataba mibovu,rushwa na ufisadi kila eneo,Hakuna kuwajibishana,no we are fed up,CCM imepoteza trust ya Watanzania it must be uprooted by all possible means.Warekebishe mapungufu na tunataka Katiba mpya.
Mkuu wewe ni "ME au KE"?Umaarufu upi wa Mbowe alionao? Lisu mwenyewe alirudi baada ya Rais kumfutia kesi,jifanye mjuaji saana utaula wa chuya..
Hayo mambo Huwa Yana maana kama Umma uko tayari kukupigania ila kama hauko na wewe utaumia Bure .
Ili iwaje?Mkuu wewe ni "ME au KE"?
Mkuu sasa hapo umetuelimisha nini sisi wananchi wa vijijini?watu wanalipwa na wapigaji bandarini nyumbu wa chadema wapo mitandaoni kulalamika bila posho
Utawaponza sana huo usingizi wa pono tomorrow, Fid Q alinena sanauhuru wa miguu na mikono
Akili imefungwa mnyororo.
Bora nchi achukuwe mchaga tu.