Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Great Words from Great MenNchi hii Mungu kaibariki, watanzania hatukuomba kuzaliwa hapa. Hakuna nchi duniani ina Tanzanite, tulileta mwekezaji kule, Watanzania wakawa wanavuliwa hadi nguo mwanamme mzima unabaki na chupi. Hatuna shida na uwekezaji, isipokuwa mnavunja sheria za nchi. Serikali ni mwalimu wa kuvunja sheria, hakafu mnataka watanzania waheshimu sheria.
Form four failures ndio waandishi wengi. Sasa hili ndio swali gani mbele ya Mambo muhimu kama haya?Dkt. Slaa: Akijibu swali la Mwandishi aliyetaka kujua kama tayari kaingia kwenye active politics baada ya kuondoka CHADEMA amesema waandishi wanapaswa kusoma katiba ili waache kuuliza maswali mepesi na kujiaibisha kama haya maana yeye ni raia wa nchi hii na anao wajibu wa kuzungumza
2025 Apumzike tu mama yetu.Wacha ukweli uendelee kuwafikia watanganyika, Samia lazima atambue yeye ni mtumishi wetu, sio bosi wetu nasi watumwa wake hivyo kujiona anaweza kutupeleka atakavyo, hilo halipo.
Samia ni mjinga naamini kabisa hakusoma ule mkataba, naamini hivyo kwasababu tabia yake ya kuwaagiza watendaji wake "na hili mkalitazame" ndio imetufikisha hapa, au pia aliusoma, lakini kwa upeo wake wa kuunga unga akaona ule mkataba wa hovyo hauna shida, taifa limepata hasara.
"Tukiamua kuandamana, itakuwa bila kikomo kama mkataba wenyewe ulivyo" -Adv. Mwabukusi, nampa cheo cha Rais wa Tanganyika, kuanzia sasa.
Nawe vipi sasa, huwezi kuona tofauti?
Kama ni kuhusu swala la "kumkabili", pia kuna tofauti kubwa kati yao.Wacha ukweli uendelee kuwafikia watanganyika, Samia lazima atambue yeye ni mtumishi wetu, sio bosi wetu nasi watumwa wake hivyo kujiona anaweza kutupeleka atakavyo, hilo halipo.
Lazima Mwarabu atoke Tanganyika na Dada yao.Mbona hawajatoa maelezo namna ya kuchangia gharama za haya mapambano ya kuilinda Tanganyika yetu?
Babu zetu walijitolea maisha yao kupigania uhuru wa Taifa letu, sisi tunashindwaje kuwezesha mambo haya?
Lazima.nihudhuria wa tarehe 22.
Sawa kabisaaaa"Rais wa Tanzania anawezaje kumpa mamlaka Waziri wa Tanzania asaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai, wapi duniani unaweza kuona hii? Hiki ni kituko mbele ya sheria, kitukoo.!" Wakili Peter Madeleka
"Wametutisha ila nasema simuogopi Nape, wala Masauni,wote wanaoshabikia mkataba huu wa bandari ni majambazi wameivamia Tanganyika na Tanzania" Wakili Boniface Mwabukusi
"Wote waliotoa vitisho hadharani watawajibika kwa chochote na lolote litakalo wakuta wote wanaopinga mkataba danganyifu wa bandari" Askofu Emmaus B. Mwamakula.
"Nape si wa kunitisha Mimi,nimeshapita level hizo,Mimi natishwa na Majenerali" Mdude Nyagali.
"Tunaitisha mkutano mkubwa tarehe 22/07/2023 siku kumi kuanzia leo kuzungumzia mkataba mbovu kuwahi kutokea toka Dunia iumbwe mkataba huu wa bandari" Dkt.Wilbroad Slaa.
Kumbe walikuja kutoa taarifa ya maandamano, Kila siku wanasogeza mbele waoga Kama mbwa wa kijijini"Rais wa Tanzania anawezaje kumpa mamlaka Waziri wa Tanzania asaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai, wapi duniani unaweza kuona hii? Hiki ni kituko mbele ya sheria, kitukoo.!" Wakili Peter Madeleka
leo kuzungumzia mkataba mbovu kuwahi kutokea toka Dunia iumbwe mkataba huu wa bandari" Dkt.Wilbroad Slaa.
Subirini akina Kibajaji watakavyokuja na digrii zao za mjengoni kutunanga Watanzania kuwa hatujui lolote na tunavyoujadili huu mkataba tunapoteza muda."Rais wa Tanzania anawezaje kumpa mamlaka Waziri wa Tanzania asaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai, wapi duniani unaweza kuona hii? Hiki ni kituko mbele ya sheria, kitukoo.!" Wakili Peter Madeleka
uanzia leo kuzungumzia mkataba mbovu kuwahi kutokea toka Dunia iumbwe mkataba huu wa bandari" Dkt.Wilbroad Slaa.
Your past determines your future brother (you reap what you sow)Tatizo unaangalia past zaidi huangalii hoja ya mzungumzaji
Magufuli alikuwa hanadishi anamiliki yeye mwenyewe na ndugu zake na mahawara wakeNawe vipi sasa, huwezi kuona tofauti?
Magufuli ni Magufuli; Samia ni Samia. Ulisikia wapi Magufuli akinadisha mali za taifa hili?
Kama ni kuhusu swala la "kumkabili", pia kuna tofauti kubwa kati yao.
Wananchi hawakuwa na sababu kubwa iliyowaunganisha pamoja kumkabili Magufuli, kama hili la Bandari alilolianzisha Samia.
Kama wewe (mbarika), huoni tofauti kati ya hawa wawili, utakuwa na sababu zako pembeni
Kabisa mkuu #mwanamalundiUtawaponza sana huo usingizi wa pono tomorrow, Fid Q alinena sana
Ni Noumaaa Watu wanafunguka si mchezo πWacha ukweli uendelee kuwafikia watanganyika, Samia lazima atambue yeye ni mtumishi wetu, sio bosi wetu nasi watumwa wake hivyo kujiona anaweza kutupeleka atakavyo, hilo halipo.
Samia ni mjinga naamini kabisa hakusoma ule mkataba, naamini hivyo kwasababu tabia yake ya kuwaagiza watendaji wake "na hili mkalitazame" ndio imetufikisha hapa, au pia aliusoma, lakini kwa upeo wake wa kuunga unga akaona ule mkataba wa hovyo hauna shida, taifa limepata hasara.
"Tukiamua kuandamana, itakuwa bila kikomo kama mkataba wenyewe ulivyo" -Adv. Mwabukusi, nampa cheo cha Rais wa Tanganyika, kuanzia sasa.