Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata sjasoma ulichokiandika ila nimegundua unataka kutuharibia mapambano,huu ugomvi wetu na ccm sio wa Slaa peke yake huu ni ugomvi wa watanzania wote wenye nianjema dhidi ya Samia na kikwete DHIDI ya uuzaji wa Taifa letu kwa waarabu kupitia DPW.Nakusalimu kwa jina la UKAWA, itikia "nilikataa ushenga"
Wewe ni mtu ambaye ulitukosesha ushindi mkubwa zidi ya CCM mwaka 2015. Ulitukimbia katika hatua za mwisho na kama haitoshi ulidiriki kutumika na haohao CCM kufichua kile ulicho kiita mkakati batili wa kushirikisha Lowasa na baadhi ya Maaskofu kwenye harakati za kuiondoa CCM madarakani.
Uliongea kile ulichokiamini na kujiita mtu wa misimamo isiyoyumba (inawezekana ulikuwa sahihi). Baada ya "Kulambishwa asali" na kupewa ubalozi, ulikaa kimya bila kutupambania kwa lolote kwenye harakati za "Jasho na damu" la kuiondoa CCM kwenye utawala.
Kuna watu wanasema tunaokosoa mkataba wa bandari "Tumenunuliwa". Wananchi wengi hawaamini maneno haya, lakini wakikusikia na wewe ni miongoni mwa wanaotetea, wanaanza kuamini. Why?
Your historical background inawafanya waamini (ulituharibia sana wewe na mzee Lipumba). Watu wanasema huenda sasa umeanza kula mihogo, na wakikupatia chai ya maziwa, blueband na mkate utatukimbia tena.
"Watu tulipigwa mabomu, tukapigwa risasi, tukapotezwa na wasiojulikana, tulishuhudia mizoga ya watu kwenye viroba baharini lakini huyu mzee (dr mihogo) alikaa kimya uko ubalozini," alisikika mwanahakati mmoja.
Mzee Slaa, hivi kipindi kile tunateswa na kupotezwa, kuzuiwa kufanya mikutano ya adhara, wewe ulikuwa wapi? Why now? Unaongea na mishipa ya shingo inakuvimba kabisa, au mihogo imeanza kuwa michungu?
Anyways, kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake!
Slaa ni tapeliUmesahau Magufuli aliposema katiba mpya sio kipaumbele na Dr Slaa akasema sahihi kabisa....
Sasa eti katiba mpya anadai Kwa fujo kabisa...
Na kuna wajinga wanamuona mzalendo..
CHADEMA walikosea wenyewe kumleta Lowassa. Mzee Slaa hausiki. So ulitegemea aendelee tu kuwa mstari wa mbele wa kuiondoa CCM wakati platform mmemnyang'anya na kumpa Lowassa? That was a very big strategic mistake.Nakusalimu kwa jina la UKAWA, itikia "nilikataa ushenga"
Wewe ni mtu ambaye ulitukosesha ushindi mkubwa zidi ya CCM mwaka 2015. Ulitukimbia katika hatua za mwisho na kama haitoshi ulidiriki kutumika na haohao CCM kufichua kile ulicho kiita mkakati batili wa kushirikisha Lowasa na baadhi ya Maaskofu kwenye harakati za kuiondoa CCM madarakani.
Uliongea kile ulichokiamini na kujiita mtu wa misimamo isiyoyumba (inawezekana ulikuwa sahihi). Baada ya "Kulambishwa asali" na kupewa ubalozi, ulikaa kimya bila kutupambania kwa lolote kwenye harakati za "Jasho na damu" la kuiondoa CCM kwenye utawala.
Kuna watu wanasema tunaokosoa mkataba wa bandari "Tumenunuliwa". Wananchi wengi hawaamini maneno haya, lakini wakikusikia na wewe ni miongoni mwa wanaotetea, wanaanza kuamini. Why?
Your historical background inawafanya waamini (ulituharibia sana wewe na mzee Lipumba). Watu wanasema huenda sasa umeanza kula mihogo, na wakikupatia chai ya maziwa, blueband na mkate utatukimbia tena.
"Watu tulipigwa mabomu, tukapigwa risasi, tukapotezwa na wasiojulikana, tulishuhudia mizoga ya watu kwenye viroba baharini lakini huyu mzee (dr mihogo) alikaa kimya uko ubalozini," alisikika mwanahakati mmoja.
Mzee Slaa, hivi kipindi kile tunateswa na kupotezwa, kuzuiwa kufanya mikutano ya adhara, wewe ulikuwa wapi? Why now? Unaongea na mishipa ya shingo inakuvimba kabisa, au mihogo imeanza kuwa michungu?
Anyways, kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake!
Mleta mada wala sio mjinga,mjinga ni baba yake aliyemza kukubali kuleta laana kama hii duniani wakati alijua fika bora angepiga nyeto tu jamaa akapotelea chooni.Umetumia muda wako mwingi ku-express ujinga ulionao
😀😀😀Mleta mada wala sio mjinga,mjinga ni baba yake aliyemza kukubali kuleta laana kama hii duniani wakati alijua fika bora angepiga nyeto tu jamaa akapotelea chooni.
Mkuu husicheke yaani kuna watu kwenye hili taifa wanakela yaani unashaangaa kweli huyu mama yake alitungwa Mimba na mtu au alijifutia tu taulo lenye Manii?
Issue ilikuwa ni kuitoa ccm madarakani hata kwa kumtumia NAPE, alipaswa akae pembeni lakini apambane kwa njia nyingine ili tuitoe ccm madarakani.CHADEMA walikosea wenyewe kumleta Lowassa. Mzee Slaa hausiki. So ulitegemea aendelee tu kuwa mstari wa mbele wa kuiondoa CCM wakati platform mmemnyang'anya na kumpa Lowassa? That was a very big strategic mistake.
Ni ujinga kuuza kitu unachosimamia ili tu uitoe madarakani CCM. Ndio maana CHADEMA haijawa sawa tangu walipomleta Lowassa. Kama mapambano yalikuwa dhidi ya ufisadi, halafu ndio unamleta fisadi awe mgombea rais, so ulitegemea Slaa akupe support kwa hilo?Issue ilikuwa ni kuitoa ccm madarakani hata kwa kumtumia NAPE, alipaswa akae pembeni lakini apambane kwa njia nyingine ili tuitoe ccm madarakani.
YOU NEED LIABILITY OR AN ASSET!?Ni ujinga kuuza kitu unachosimamia ili tu uitoe madarakani CCM. Ndio maana CHADEMA haijawa sawa tangu walipomleta Lowassa. Kama mapambano yalikuwa dhidi ya ufisadi, halafu ndio unamleta fisadi awe mgombea rais, so ulitegemea Slaa akupe support kwa hilo?
An Asset, and Lowassa was and is a liability. We're still paying up to this moment.YOU NEED LIABILITY OR AN ASSET!?
hakuna kosa alilofanya, wote waliochukuliwa wamerudi CCM lakini mjadala uliopo ni Tanganyika na bandari hatuwezi kuruhusu watu watutoe nje ya reliHivyo vyote tunaweza kvidai bila kumtumia msaliti dr Slaa.
Ametuaribia sana huyu mzee, si wakumuamini.