Dkt. Slaa ushiriki wako kwenye mjadala wa Bandari unatuharibia

Ata sjasoma ulichokiandika ila nimegundua unataka kutuharibia mapambano,huu ugomvi wetu na ccm sio wa Slaa peke yake huu ni ugomvi wa watanzania wote wenye nianjema dhidi ya Samia na kikwete DHIDI ya uuzaji wa Taifa letu kwa waarabu kupitia DPW.
Slaa kaonyesha atua kwa vitendo,kwani kushindwa uchaguzi kipindi cha Slaa chama gani kilishawai shinda uchaguzi dhidi ya ccm?
Hacha ufala mara moja huyu mzee mm namkubali sana na sisi tunamkubali sana kuliko huyo aliyekutuma...hiki sio kipindi cha uchaguzi ni mapigano dhidi Ya SAMIA NA WATANZANIA WAZALENDO.
 
CHADEMA walikosea wenyewe kumleta Lowassa. Mzee Slaa hausiki. So ulitegemea aendelee tu kuwa mstari wa mbele wa kuiondoa CCM wakati platform mmemnyang'anya na kumpa Lowassa? That was a very big strategic mistake.
 
Umetumia muda wako mwingi ku-express ujinga ulionao
Mleta mada wala sio mjinga,mjinga ni baba yake aliyemza kukubali kuleta laana kama hii duniani wakati alijua fika bora angepiga nyeto tu jamaa akapotelea chooni.
 
CHADEMA walikosea wenyewe kumleta Lowassa. Mzee Slaa hausiki. So ulitegemea aendelee tu kuwa mstari wa mbele wa kuiondoa CCM wakati platform mmemnyang'anya na kumpa Lowassa? That was a very big strategic mistake.
Issue ilikuwa ni kuitoa ccm madarakani hata kwa kumtumia NAPE, alipaswa akae pembeni lakini apambane kwa njia nyingine ili tuitoe ccm madarakani.
 
Issue ilikuwa ni kuitoa ccm madarakani hata kwa kumtumia NAPE, alipaswa akae pembeni lakini apambane kwa njia nyingine ili tuitoe ccm madarakani.
Ni ujinga kuuza kitu unachosimamia ili tu uitoe madarakani CCM. Ndio maana CHADEMA haijawa sawa tangu walipomleta Lowassa. Kama mapambano yalikuwa dhidi ya ufisadi, halafu ndio unamleta fisadi awe mgombea rais, so ulitegemea Slaa akupe support kwa hilo?
 
YOU NEED LIABILITY OR AN ASSET!?
 
Hivyo vyote tunaweza kvidai bila kumtumia msaliti dr Slaa.
Ametuaribia sana huyu mzee, si wakumuamini.
hakuna kosa alilofanya, wote waliochukuliwa wamerudi CCM lakini mjadala uliopo ni Tanganyika na bandari hatuwezi kuruhusu watu watutoe nje ya reli
 
Mleta mada bora ungekaa kimya kuliko kuja na upuuzi wa kiwango cha lami!
Unapoona mtu anakuja na hoja za kijinga na kipuuzi kabisa ktk mambo ya msingi na ya kitaifa kama wewe ni lazima upuuzwe kwa uhayawani wako! Shame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…