Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Hawa miaka yote ndivyo walivyo, usihangaishwe nao, wameishi kwenye lindi la ujinga karibia muongo mzima.

Hata wenyewe wanaona aibu kwa huu uongo walioweka hapa, lakini wanajitoa akili makusudi kama watoto wadogo, wapuuzwe tu sio wa kuhangaishwa nao.
Thanks for the advise. Manake huwa nashindwa kumuelewa huyu FaizaFoxy anaonekana kama ndio mkuu wa Kikundi hicho,na kila jinsi ninavyosoma humu inaonekana na Inawezekana huyu n Bb yangu, yani according to mengi anayoyasema yeye na wengine. Hakika wanajitoa akili na ufahamu, na ni waongo kweli.
 
Kwanza, karibu jamvini baada ya kupotea miaka mingi sana.

Tunatumai u mzima wa afya tele.

Swali lako ni zuri sana na la kina, binafsi ntadonoa kidogo kidogo huku nikitazama hali ya hewa.
We mama mdini sana
 
Hebu kesho asbh amka nenda pale mtaa wa Congo sema kwa sauti kwamba utapindua nchi uone kitakachokukuta.
Wewe ni mjinga. Mimi nimeuliza nchi inapinduliwa kwa maneno? Wewe unaniambia niende mtaa wa Kongo niseme kwa sauti nataka kupindua nchi! Sasa nikipatwa na jambo kama kukamatwa ina maana nchi inapinduliwa na maneno?
 
CHADEMA NI HATARI SANA KWA TAIFA NI WATU WANAPASWA KUVUNJWA BEGA MPAKA WAKAE SAWA
 
CHADEMA NI HATARI SANA KWA TAIFA NI WATU WANAPASWA KUVUNJWA BEGA MPAKA WAKAE SAWA
Sio kweli CHADEMA ni chama madhubuti huyu Babu alisema hana Chama na kuna kipindi alisema kaacha shughuli zote za kisiasa kumbe fixi tu
 
WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi

"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"

"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"

"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Hivi wew unatumia nni kufikiri? Ivi kwa akili zako Rais anapinduliwa kwa maneno? Au unafikiri kumpindua Raisi ni rahisi kama unavyo pindua meza ....... kwanini hoja za bandari mnajaribu kuzi kwepesha nakuleta taswira nyingine kabisa ..... vipi unaweza tupa ushahidi wa haya unayo zungumza? ..... huna hoja ya kuleta hapa wadau tuchangie tofauti na haya matapishi ..... nimekushusha thamani kuliko unavyo fikiri ....tujikite kwenye hoja ya msingi .....kuhusu bandari
 
Wanyongwe hata kesho mchana hapo uwanja wa Mkapa. Hakuna mtu anayejitambua atakubaliana na uuzaji wa bandari. Tunataka wanyongwe mapema ili ushujaa na majina yao yabaki kuwa walipigania nchi hii hadi kuuwawa na majizi ya kura.
Wewe mbona bado umejificha hujitokezi?🤣
 
Huyu Babu katika maisha yake yote ya kisiasa hii kesi ya uhaini hata isahau
 
Kwani hukumu ya kifo si inatekelezwa jela vile vile au hujui!?
Ndio nikasema jifunze sheria kwanza kabla ya kuja hapa kujadili masuala ya sheria
Anaehukumiwa kifo anawekwa MAHABUSU kusubiri siku yake ya kunyongwa.
Jela anapelekwa mtu ambae amehukumiwa kifungo cha muda flani.
Iwe mwaka au maisha.
Na hizo mahabusu mara nyinginr zinakuwa humo humo kwenye ukuta wa jela.

Nadhani leo utakuwa umejifunza kitu hapa.
 
- huwezi kunipa darasa, ww ndiye unatakiwa ukae ufundishwe.
-Maandamano peke yake hayaotoshi kuthibitisha Uhaini,
-unajua kuandamana ili Kuipinga mipango/mikakati ya serikali sio kosa
- Hata ukikamatwa kama alivyokamatwa Dr slaa, hawawezi kuthibitisha,
Sasa we andamana ukidai unataka kupindua serikali uone.
Watoto wadogo km nyie sheria hamjui na nidhamu pia hamna matokeo yake mnaropoka ovyo tu.
 
Ndio nikasema jifunze sheria kwanza kabla ya kuja hapa kujadili masuala ya sheria
Anaehukumiwa kifo anawekwa MAHABUSU kusubiri siku yake ya kunyongwa.
Jela anapelekwa mtu ambae amehukumiwa kifungo cha muda flani.
Iwe mwaka au maisha.
Na hizo mahabusu mara nyinginr zinakuwa humo humo kwenye ukuta wa jela.

Nadhani leo utakuwa umejifunza kitu hapa.
Concept ni kwamba ni kwenye gereza.
 
Endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe kama watoto wadogo.
Sasa hio pia we unaona umetoa hoja ya maana kabisa
Pole sana kijana.
Maisha haya mliokulia nyie yamewaharibu kabisa

Mnatukana mpk wazazi wenu.
 
Back
Top Bottom