Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli lakini mzee maji yalizidi unga, mwisho wake ndio huu kaangia LupangoWewe hata ukipiga uchawa namna gani huwezi kufikia hata 10% ya aliyofanya Dr Slaa
Ni siku 100 za kufunga na kuomba mpaka utawala wa samia uanguke,
Wazalendo wa Tanganyika muda huu ni muhimu kwetu tukicheka na nyani tuvuna mabua na huyu mama na ccm yake amedhamiria kutuachia mabua
Wekeni namba ya mpesa au benki account kila mahala tuweze kutoa michango kwa ajili ya kuendesha kesi za mawakili wazalendo zaidi 100 walio jitolea kuwatetea Dr Slaa na wenzake
Walaaniwe wote wanaotaka kuuza bandari zetu wao na familia zao na uzao wao wote ajali,vifo,magonjwa ya kutisha na yawaandame na wasipate furaha hata kidogo kuanzia sasa
Njaa Tz ipo tkea Nyerere akamate uraisi , la muhimu watu wasianze kuuwana kama yaliyofanywa na Nyerere Huku Zanzibar na hawa wa baadaye. Tumechoka kumwaga damuNaona majizi ya sisiemu mnajipongeza
Pumbafu zenu
Suala kama hili sensitive mnaanza kuhubiri amani? Amani wakati watu wana njaa?
Amani haita kuwepo wakati watu wana njaa.
Ondoweni njaa kwa mnaowaongoza ili amani iwepo.
We ukipatikana lzm uwe mfano.Kutoipenda serekali iliyoko madarakani na wapambe wake sio kosa , , kuipindua serekali pia kama haiwajibiki kikamilifu sio kosa.
Mama ana upiga mwingi hilo liko wazi kwa kila Mtanzania ,so anuwajibikia umma wa Watanzania.We ukipatilana lzm uwe mfano.
Watu km nyie kubaka pia sio kosa. Bangi mbaya sana hasa ukivuta wakati huna hela.
Yaani unaangaika kuwatetea wahuni wa kisiasa kama hakina Dr. Slaa..Ni siku 100 za kufunga na kuomba mpaka utawala wa samia uanguke,
Wazalendo wa Tanganyika muda huu ni muhimu kwetu tukicheka na nyani tuvuna mabua na huyu mama na ccm yake amedhamiria kutuachia mabua
Wekeni namba ya mpesa au benki account kila mahala tuweze kutoa michango kwa ajili ya kuendesha kesi za mawakili wazalendo zaidi 100 walio jitolea kuwatetea Dr Slaa na wenzake
Walaaniwe wote wanaotaka kuuza bandari zetu wao na familia zao na uzao wao wote ajali,vifo,magonjwa ya kutisha na yawaandame na wasipate furaha hata kidogo kuanzia sasa
Ataandamana na mkeweWANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi
"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"
"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Je kama Wana watu nyuma yao? Msituingize Kwenye machafuko, mabadiliko ya kisiasa yafanyike Kwenye kuraYaani na wewe unaingizwa king na AIGIPI Wambura? Unajua kumpindua Rais ilivyo? Hivi kwa akili yako Mdude, Mwabukusi na Slaa wanaweza kupanga kumpindua Rais hata akiwa nyuma ya huyo Mtu?
Sasa kama hamjui wako nyuma ya nani kwanini mmewakamata kinyume na sheria?WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi
"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"
"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Je kama Wana watu nyuma yao? Msituingize Kwenye machafuko, mabadiliko ya kisiasa yafanyike Kwenye kura