imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Isikilize na hii👇Duh... kumbe Dr. Mihogo alisema kweli...
Kazi ipo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isikilize na hii👇Duh... kumbe Dr. Mihogo alisema kweli...
Kazi ipo...
Sasa kama ka suggests options si ndio anatoa muongozo hivo au..Swali WANAWEZA KUFANYA NINI sio sawa na MTU KUSEMA TUIPINDUE NCHI. Na suggestions hata siku Moja sio uhaini, ila uhaini ni kitendo kabisa Cha kupanga au kujaribu kuiondoa serikali iliyowekwa kikatiba.
Sasa Slaa ku suggest options walizonazo wananchi (Sio Yeye) anakuaje mhaini.
Hawa watu wanatakiwa wakamatwe haraka na kuhukumiwa kwa speed kubwa ya hatari.Isikilize na hii👇
View attachment 2718933
Mwana kulitafuta....mchuma janga hula na nduguze.Sasa kama ka suggests options si ndio anatoa muongozo hivo au..
Huyo Mzee yeye atakimbilia Karatu halafu Nairobi na kwenda Canada sisi akina yakhe tukimbilie wapi.Hawa watu wanatakiwa wakamatwe haraka na kuhukumiwa kwa speed kubwa ya hatari.
Wametumwa kuleta machafuko nchini.
Wazungu wameshawanunua kuja kumwaga damu hapa
I will trade carefully of I was you bro.Ku suggest wananchi wanaweza pindua serikali ndio sawa na kusema NITAIPINDUA serikali au TUIPINDUE serikali? Then kupindua serikali sio maneno ni vitendo. Kesi yake hapo ni uchochezi Wala sio uhaini ni kupotezea watu muda tu.
Samia alianza vizuri ila akiendekeza huu upuuzi wa JPM atavuna alichopanda sio muda mrefu maana Hana ushawishi Wala political base so kuwa eliminated is easier than his predecessor.
Wameshaanza huku mitandaoni wanalialia ooh mama ulianza vizuri oh mama usiingie kwenye huu mtego sasa unajiuliza hawa watu hawajiulizi kwanini Rais anabadilika?Mwana kulitafuta....mchuma janga hula na nduguze.
Karibia tutaanza kusikia "Mama nisamehe nina familia" Mama usiue wanao"😆😆
Blood spill ni kukosoa serikali Tena kwenye interview sio mikutano Wala barabarani? Hivi ingekua maandamano kama ya Odinga mngesemaje? Embu acheni kukuza mambo Chadema walitaka maridhiano ila CCM ndio mmechagua violence na udikteta kisa kukosolewa.I will trade carefully of I was you bro.
All CHADEMA wants is war and blood spills.
Sisi watanzania upuuzi huo hatutaki. Anzeni kusafisha uchafu ulioko huko kwanza CHADEMA mkisha kamilika huenda wananchi wakawakubali. Sio kutuletea Fitna ya kutaka tuuwane km wakenya hapa Tanzania
Propaganda kutoka kwa mwanazuoni kama wewe sums up aina ya Rais tuliyenaye!!Na wameahidiwa mambo mengi sana pale watakapo shika madaraka .
Hii dunia ngumu unaemdhania ndiye kumbe siyeMjadala tayari umeshabadilika 😅😅🙏🙏
Mimi sio CCM. na Naapa kwa Mungu hicho chama kimeniathiri mimi binafsi kiasi kikubwa sana. Nimepanga foleni ya unga wa FARASI wakati ule wa Fujo ya Tanzania na Kagera (manake ile siwezi kuiita vita).Propaganda kutoka kwa mwanazuoni kama wewe sums up aina ya Rais tuliyenaye!!
Kwamba CHADEMA imeahidi wazungu? Iwaahidi Nini wakati Kila kti mmeshawauzia? Gesi ya Mtwara tumeambulia 10% pekee, Bandari ndio kabisa tutabakia na statutory 16%, bado migodi ndio kama hivyo tuna 16% zile za kisheria tu na mrabaha wa 6% alone!! Hivi kipi kimebaki nchi hii hakijauzwa kupitia CCM Hadi hao wazungu waisubiri CHADEMA?
Mimi ni Mwana CHADEMA damu lakini Mapinduzi na hatimae kumuua huyu Mama aliyeleta Maridhiano na siasa za Kistaarabu nasema NO.Wameshaanza huku mitandaoni wanalialia ooh mama ulianza vizuri oh mama usiingie kwenye huu mtego sasa unajiuliza hawa watu hawajiulizi kwanini Rais anabadilika?
Tondu lissu alikuwa wapi siku zate km sio kwa wazungu?Propaganda kutoka kwa mwanazuoni kama wewe sums up aina ya Rais tuliyenaye!!
Kwamba CHADEMA imeahidi wazungu? Iwaahidi Nini wakati Kila kti mmeshawauzia? Gesi ya Mtwara tumeambulia 10% pekee, Bandari ndio kabisa tutabakia na statutory 16%, bado migodi ndio kama hivyo tuna 16% zile za kisheria tu na mrabaha wa 6% alone!! Hivi kipi kimebaki nchi hii hakijauzwa kupitia CCM Hadi hao wazungu waisubiri CHADEMA?
Kwanza huyu Babu apewe fundisho sisi Watanzania millioni sitini tunataka AMANI na UPENDO hatutaki umwagaji wa DamuUkicheka na nyani utavuna mabua mama wakae stoo hao miaka 9 kwanza kabla ya kusikilizwa.
Ina maana wangekuwa ni wazungu kutoka eg Vatican basi ngingepiga makofi na kusema mkataba ni mzuri? Big NO. Nakuhakikishia mimi siyo nanga namna hiyo. Hata hawa waislam wanaotetea na kufananisha huu mkataba na MOA ya kanisa na serikali nawashangaa sana.Unawaita Magaidi wa kiarabu kwa kuwa umemezeshwa hayo maneno kwenye Parokia yenu,mnaupinga mkataba kwa sababu za kidini badala ya kutumia akili kufanya reasoning
Miaka yote wao hutazama ikulu yupo nani, kisha hata afanye kosa gani wao watamlinda kwa kila njia, hasa inapotokea wanaompinga aliyepo ikulu, ni wa dini tofauti nao, tena mbaya zaidi mfano akiwa mtu wa aina ya Dr. Slaa, aliyekwahi kuwa padri ndio watahakikisha wanajaza kila aina ya uongo kujiridhisha.