kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Clip ninayo na nimeiweka humu zaidi ya mara moja as evidence.Maalim kama wewe unapotosha? Wapi kwenye interview aliulizwa EXTREME MEASURES? Aliulizwa HATUA GANI WANANCHI WANAWEZA TUMIA? Ndio akasema KUNA (means suggestions) HATUA EXTREME kama KUPINDUA serikali.
Sasa wapi hayo maneno unayo quote humo kwenye hiyo kivideo Cha sekunde 9 yamewekwa?
Ni ajabu sana Mwanazuoni kama wewe mwenye heshima kubwa humu JF Kuongea maneno ya uongo. Mbaya zaidi umekuja kwa gia ya udini maana enzi za JPM ulikimbia JF.
Sasa vipi nidanganye wakati mimi mwenyewe nimeweka hio clip humu ndugu?
Hebu sikiliza vizuri hio clip