Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Nadhani hujaelewa kipi kinaongelewa hapa.
Dr Slaa ametamka wazi kuwa kama serikali haitokubali matakwa ya watu lzm zitumike "EXTREMELY MEASURES" Akaulizwa na muhandisj wa habari " EXTREMELY measures kama zipi? Slaa akajibu "KUPINDUA SERIKALI.
Hio kauli peke yake hata kabla ya kuitekeleza tayari ni KOSA LA UHAINI.
NA Kosa la UHAINI Tanzania HUKUMU YAKE NI KIFO.
Sio jela tena.

Someni sheria za nchi kabla ya kulalamika.
Maalim kama wewe unapotosha? Wapi kwenye interview aliulizwa EXTREME MEASURES? Aliulizwa HATUA GANI WANANCHI WANAWEZA TUMIA? Ndio akasema KUNA (means suggestions) HATUA EXTREME kama KUPINDUA serikali.

Sasa wapi hayo maneno unayo quote humo kwenye hiyo kivideo Cha sekunde 9 yamewekwa?

Ni ajabu sana Mwanazuoni kama wewe mwenye heshima kubwa humu JF Kuongea maneno ya uongo. Mbaya zaidi umekuja kwa gia ya udini maana enzi za JPM ulikimbia JF.
 
Kaulizwa wananchi wanaweza kufanya Nini? Kasema zipo options na kufanya mapinduzi ni EXTREME options. Sasa extreme si Ina maana ni hatua ya mwisho iliyovuka mstari? Sasa wapi hapo kasema atafanya mapinduzi au tufanye mapinduzi? Stating options doesn't mean ndio ume opt for the said option.

Acheni upotoshaji
Kutamka tu neno uhaini kwenye vyombo vya habari amefanya kosa kubwa sana

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kweli baadhi ya vipengele baina ya serikali na DP World vinachangamoto lakini ni kipi kilichowasukuma mpaka watoe kauli za namna hiyo?

Swali lisiwe kwamba je wana uwezo wa kupindua? Swali liwe Kipi kilochowasukuma wao kutoa kauli za kuchochea kufanya mapinduzi?
I miss you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwelezaji sio ugawaji na Maraisi wote wameingia mikataba au mikopo yenye walakini hata Raisi mstaafu Kikwete kaliongelea hilo

Sio kupendekeza kuwa apinduliwe.
Uwekezaji gani huo wa kugawa hovyo rasilimali za nchi huku wenye nchi wakibaki kama watoto wa yatima wakitegemea ajira kutoka Serikalini
 
Kutamka tu neno uhaini kwenye vyombo vya habari amefanya kosa kubwa sana

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Swali WANAWEZA KUFANYA NINI sio sawa na MTU KUSEMA TUIPINDUE NCHI. Na suggestions hata siku Moja sio uhaini, ila uhaini ni kitendo kabisa Cha kupanga au kujaribu kuiondoa serikali iliyowekwa kikatiba.

Sasa Slaa ku suggest options walizonazo wananchi (Sio Yeye) anakuaje mhaini.
 
Uwekezaji gani huo wa kugawa hovyo rasilimali za nchi huku wenye nchi wakibaki kama watoto wa yatima wakitegemea ajira kutoka Serikalini
Hii Nchi inajulikana kwa mikataba mibovu tokea zamani, mimi kama Imhotep I don't care anymore ninaangalia maslahi yangu kwa mfano Buzwagi mkataba wake ulikuwa mbovu sana lakini mimi nilipiga kazi za dola 250000 pale

Bulyankulu Mine mkataba mbovu likini mimi nilipiga kazi za almost 50000 dollars

Na hata mikataba ikiwa mizuri fedha zinaporwa na kila siku ma CAG wanaweka bayana wanaofaidika ni hao walioko serikalini mimi Imhotep nikiugua Hospitali nalipa nasomesha nalipa bado nalipa na kodi na ushuru mbalimbali

So idont give a f anymore

Na natarajia DP World wanipe kazi nijitafutie rizki yangu mimi kiumbe dhaifu cha Mungu

Hizi nguvu za kudai Bandari tudai KATIBA MPYA BORA hata ikibidi tuwaambie donors waache kuisapoti serikali hadi tupate KATIBA MPYA.
 
Na huo ndio ukweli wenyewe tena ukweli mchungu !!
Wabongo wengi hatujui hasa nini tunakihitaji !!
Tunaangaliaga tulipoangukia sio tulipojikwaa. !!
Ujanja mwingi huondoa maarifa !! πŸ˜…πŸ™πŸ™
 
Tunageuzika kama chapati !!
Sisi kama Wapinzani tulikuwa na Agenda zetu za KATIBA MPYA na MARIDHIANO ghafla tukavamiwa na WANAHARAKATI wa BANDARI tukaacha Agenda zetu tukaanza kuendeshwa na SLAA na genge lake.
 
Back
Top Bottom