mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Mjadala tayari umeshabadilika π π ππuna hoja usikilizwe wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjadala tayari umeshabadilika π π ππuna hoja usikilizwe wewe
Nimesikia pia kuna simu zimedukuliwaMimi nakuhakikishia hii clip haitaweza kumfunga huyu mzee jela. Moreover haiwezi kupokelewa Mahakamani kama ushahidi, ina mapungufu ambayo hayarekebishiki.
Mjadala karibia utakuwa "Mama nisaidie nina familia" ππMjadala tayari umeshabadilika π π ππ
Maalim kama wewe unapotosha? Wapi kwenye interview aliulizwa EXTREME MEASURES? Aliulizwa HATUA GANI WANANCHI WANAWEZA TUMIA? Ndio akasema KUNA (means suggestions) HATUA EXTREME kama KUPINDUA serikali.Nadhani hujaelewa kipi kinaongelewa hapa.
Dr Slaa ametamka wazi kuwa kama serikali haitokubali matakwa ya watu lzm zitumike "EXTREMELY MEASURES" Akaulizwa na muhandisj wa habari " EXTREMELY measures kama zipi? Slaa akajibu "KUPINDUA SERIKALI.
Hio kauli peke yake hata kabla ya kuitekeleza tayari ni KOSA LA UHAINI.
NA Kosa la UHAINI Tanzania HUKUMU YAKE NI KIFO.
Sio jela tena.
Someni sheria za nchi kabla ya kulalamika.
Tuthibitishie hapa ufake wake acha longo longoMbona mnamlisha maneno Dr Slaa? Hivi jamii check imekufa? Inakuaje fake news zinaachwa tu kuleta mis information?
Cc JamiiForums
Maana hiyo video ya sekunde 9 Haina hayo maneno.
Kutamka tu neno uhaini kwenye vyombo vya habari amefanya kosa kubwa sanaKaulizwa wananchi wanaweza kufanya Nini? Kasema zipo options na kufanya mapinduzi ni EXTREME options. Sasa extreme si Ina maana ni hatua ya mwisho iliyovuka mstari? Sasa wapi hapo kasema atafanya mapinduzi au tufanye mapinduzi? Stating options doesn't mean ndio ume opt for the said option.
Acheni upotoshaji
I miss youKweli baadhi ya vipengele baina ya serikali na DP World vinachangamoto lakini ni kipi kilichowasukuma mpaka watoe kauli za namna hiyo?
Swali lisiwe kwamba je wana uwezo wa kupindua? Swali liwe Kipi kilochowasukuma wao kutoa kauli za kuchochea kufanya mapinduzi?
Wangeachiwa Watanzania wazalendo waendeleze rasilimali zaoWangeachiwa TICTS au siyo?
Uwekezaji gani huo wa kugawa hovyo rasilimali za nchi huku wenye nchi wakibaki kama watoto wa yatima wakitegemea ajira kutoka SerikaliniUwelezaji sio ugawaji na Maraisi wote wameingia mikataba au mikopo yenye walakini hata Raisi mstaafu Kikwete kaliongelea hilo
Sio kupendekeza kuwa apinduliwe.
Swali WANAWEZA KUFANYA NINI sio sawa na MTU KUSEMA TUIPINDUE NCHI. Na suggestions hata siku Moja sio uhaini, ila uhaini ni kitendo kabisa Cha kupanga au kujaribu kuiondoa serikali iliyowekwa kikatiba.Kutamka tu neno uhaini kwenye vyombo vya habari amefanya kosa kubwa sana
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hii Nchi inajulikana kwa mikataba mibovu tokea zamani, mimi kama Imhotep I don't care anymore ninaangalia maslahi yangu kwa mfano Buzwagi mkataba wake ulikuwa mbovu sana lakini mimi nilipiga kazi za dola 250000 paleUwekezaji gani huo wa kugawa hovyo rasilimali za nchi huku wenye nchi wakibaki kama watoto wa yatima wakitegemea ajira kutoka Serikalini
Tunageuzika kama chapati !!Mjadala karibia utakuwa "Mama nisaidie nina familia" ππ
Kuna jambo litafanyika kama Samia akiendelea hivi.
Na huo ndio ukweli wenyewe tena ukweli mchungu !!Hii Nchi inajulikana kwa mikataba mibovu tokea zamani, mimi kama Imhotep I don't care anymore ninaangalia maslahi yangu kwa mfano Buzwagi mkataba wake ulikuwa mbovu sana lakini mimi nilipiga kazi za dola 250000 pale
Bulyankulu Mine mkataba mbovu likini mimi nilipiga kazi za almost 50000 dollars
Na hata mikataba ikiwa mizuri fedha zinaporwa na kila siku ma CAG wanaweka bayana wanaofaidika ni hao walioko serikalini mimi Imhotep nikiugua Hospitali nalipa nasomesha nalipa bado nalipa na kodi na ushuru mbalimbali
So idont give a f anymore
Na natarajia DP World wanipe kazi nijitafutie rizki yangu mimi kiumbe dhaifu cha Mungu
Hizi nguvu za kudai Bandari tudai KATIBA MPYA BORA hata ikibidi tuwaambie donors waache kuisapoti serikali hadi tupate KATIBA MPYA.
Sisi kama Wapinzani tulikuwa na Agenda zetu za KATIBA MPYA na MARIDHIANO ghafla tukavamiwa na WANAHARAKATI wa BANDARI tukaacha Agenda zetu tukaanza kuendeshwa na SLAA na genge lake.Tunageuzika kama chapati !!