Ikiwemo masheikh wa uamsho na wale wa kule Arusha na Mtwara waliopewa kesi za ugaidi? Are you serious? Unafurahia serikali kutumia mabavu kuminya haki? You can put people in check using public relations stunts sio violence.
Unasema Quran ndio katiba Yako unasahau hao hao CCM mara ngapi wamekandamiza waislam nchi hii tokea uhuru? Je hao ndio waku support? Hivi si ndio walisema hawawezi ruhusu Zanzibar ijitoe muungano kisa itakua Taifa la kiislam? Hivi unajua CCM iliua waislam wangapi huko Kibiti na Mtwara?
So sad kuona muislam ku support CCM wakati haijawahi pigania maslahi yenu tokea uhuru. Pia huwezi kuwa muislam safi alafu ukapinga haki? Nchi za kiarabu ni za kiislam 100% ila ndio zinaongoza kwa kupinduana na extremism Ili kupigania haki zao. Cha ajabu muislam aliyepo Tanzania anaona watu kupigania haki zao tena wasio na silaha, eti wapo violent.
Are we serious?
Nadhani toka nimeanza kujadili na wewe bado hujanielewa.
Narudia tena kwa mara ya mwisho. CCM ni maadui wa haki miaka yote Tanzania na sijawahi kusapoti CCM hata siku moja. Ila! Siwezi kukubali mtu yyt anaetaka kuleta ushawishi wa kuleta MAUWAJI TANZANIA. Dr Slaa na kundi lake la majambazi wanatakiwa kufungwa haraka sana na huyo DR slaa kwa sababu amefanya kosa la UHAINI anatakiwa KUNYONGWA haraka sana.
Huwezi kunipa Darsa kuhusu Dhulma ya CCM juu ya waislamu. Kuna dhulma hata wewe huzijui lkn juu ya hivyo kwa kuipendelea mema nchi yangu SIWEZI KUSAPOTI CHADEMA hata siku moja.
CHADEMA sio Chama. Bali ni kundi la watu wachache wenye tamaa. Wasiojali damu kumwagika kwa wingi sana.
Unataka kuleta mabadiliko ya serikali endelea kupambana kwenye majukwaa mbali mbali kama alivyokuwa Mandela.
Kushawishi wananchi waandame wakafe kwa risasi ili ati Mbowe awe Rais hilo napinga mpk kesho kiyama.
Let me make it simple.
Kama CCM ni nyoka au aina ya kobra basi CHADEMA ni black mamba.
Akianza kugonga anamaliza kijiji kizima kwa siku moja.
Kobra ataua wachache sana.
Tunamuomba Mungu amtie nguvu mama Samia Aweze kuwadhibiti maadui wa haki ndani ya serikali yake.
Hilo ndio la kuomba.
Sio kutaka CHADEMA is hike nchi.
Tutakufa km kuku wakipata maradhi ya mafua ya kuku.
Na hio balaa itakukuta hata wewe.
Between 2 enemies always choose the one you know better.