BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
- wewe unajua Nini kuhusu sheria?Sasa we andamana ukidai unataka kupindua serikali uone.
Watoto wadogo km nyie sheria hamjui na nidhamu pia hamna matokeo yake mnaropoka ovyo tu.
Sentencing criminals is not a matter of concepts.Concept ni kwamba ni kwenye gereza.
Kama huez ongea kama hivyo , bas jiite mjing , ni kituko mzee kuwa na ujasiri huo wkt ww kijana umelalaWANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi
"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"
"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
tulia utaelewa tuHivi mnadhania kumpindua Rais ni easy kama kumpindua mke?
Nimesoma sheria miaka ile tunapigana na Uganda Na sheria ya nchi yangu naijua vizuri sana.- wewe unajua Nini kuhusu sheria?
-ww mkubwa mbona bado huna Content kichwani?
Kuna hoja yao imejibiwa? Mkataba wa muda gan?watu weusi tunashida sana..
Hoja zao juu ya mkataba wa dp world zijibiwe kwa hoja sio mabavu na mkono wa chuma. Nchi ni yetu wote, nia yao IPO clear kabisa ni kujaribu kulinda rasilimali za nchi.
Concept ni GEREZA ambalo linasehemu mbalimbali,Sentencing criminals is not a matter of concepts.
GEREZANI kuna Sehemu mbali mbali. Na haziko sawa sawa kabisa.
Nenda ukatembelee gereza lolote uombe kuonyeshwa Wapi mahabusu na wapi Jela uone tofauti.
Walioko mahabusu wanaomba Mungu kila siku aidha watolewe au wapelekwe jela.
It's hell on earth.
Never ever think for a second It's just simply a "Prison.
-Nitajie Sheria specific unayoijua vizuri, nianze kukuuliza maswaliNimesoma sheria miaka ile tunapigana na Uganda Na sheria ya nchi yangu naijua vizuri sana.
Endelea kunisoma tu pole poel, utakubali tu siku moja kuwa mimi na wewe hatuko sawa kabisa kwenye suala hili.
The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa
Kwa hii kauli Dr Slaa anaweza kuchezea Kitanzi
Huyo mzee mnafiki anatakiwa akamatwe. Ashtakiwe na ahukumiwe .
Hawa wachungaji wa namna hii ni kunyonga tu
Serikali haijatimiza wajibu wake wa kuwashirikisha umma , mkatab wa mwaka 2022 feb , ulipovuja kaamua upeleka puta puta , maswali muhimu serikali inakwepa kwa kuzusha story za udini , ukabila na kujib maswali ambayo hayajaulizwa , MKATABA WA MUDA GANI ? WAARABU WASIPOTIMIZA AHADI ZAO WANAPEWA PENALTY ZIPI? (MKATABA WOWOTE HII LZM IWEPO) EBU NISAIDIE KUJIB KAMA ULISIKIA JIBU LA SERIKALI , badala yake serikali imekuwa busy kusema mkataba sio milele wala miaka 100 mara mama anakosolewa kisa mzanzibar mara wakosoaji hawataki uwekezaj , ss serikali ya kihuni hv , unaendeleaj kuifuga?Hapo Dr mihogo ametoa hoja kupindua serikali hii hoja inasaidia vipi kwenye suala la bandari.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
KbsKuna jambo litafanyika kama Samia akiendelea hivi.
Kwa akili yako unafikiri ni mpaka yafanyike? Kutamka tu tayari hilo ni kosa-hayo maandamano yamefanyika?
- Sasa jukumu lao ni kuthibitisha Hilo,Kwa akili yako unafikiri ni mpaka yafanyike? Kutamka tu tayari hilo ni kosa
Nikikuita mpumbavu nitakuwa nimekuvunjia heshima? Hizo bunduki huwa zinajifyatua zenyewe. Kila kitu kinaanzia padogo sana hadi kuwa kubwa. Halafu pia acha kutetea mambo ambayo nje ya JF huwezi hata kuyaongelea. Wewe hapo uso kwa uso na Afande Wambura lazima ujiharishie.Wewe ni mjinga. Mimi nimeuliza nchi inapinduliwa kwa maneno? Wewe unaniambia niende mtaa wa Kongo niseme kwa sauti nataka kupindua nchi! Sasa nikipatwa na jambo kama kukamatwa ina maana nchi inapinduliwa na maneno?
Panya road wapo , ss wanatumia silaha huko mbagala , ila serikali inawafichen , mm shuhuda panya road walikwepo hata kabla ya sekeseke la kawe , ila jeshi linajuwa na lipo kimya , Ila kauli ya slaa wanajifanya wapo makini , UHUNI HUUHuenda kuna vikosi keshaviandaa huyo Mzee aseme vizuri.
Majeshi yetu yana nidhamu ya hali yajuu hayawezi kumsikiliza huyu Babu aliyechanganyikiwa.
Sasa si waseme tu kuwa walikua wanaitania serikali isichukulie mambo kwa uzito wake basi yaishe au unaonaje King Kong III ?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Watafuta mashtaka 2032. Very simple.-kenge ni ww usiyejua sheria
-niende Mahakamani kwani mimi Wakili?
-mimi nakwambia hapo hawawezi kuthibitisha hilo kosa, na wanafuta hayo mashtaka.
-viwango vya kuthibitisha kosa la Uhaini viko juu, Yani hapo Kwanza lazima kuwe na kula njama, na lazima jamhuri waoneshe hizo njama walikuwa wapi,lini na kina Nani,
Nasema mbagala huko panya road wanatumia bunduki ss hv , ila serikali ipo kimya kisa anaeumia sio Samia , 2025 wanakuja kutuomba kuraHiyo kauli ni zaidi ya uhaini.
Hiyo kauli ilikuwa inahitaji afinywe hapo hapo walipomkuta, kama ilivyotokea huko Utah USA hivi majuzi.
Hiyo mzee kasema mwenyewe kuwa mwisho ni kuipindua Serikali.Mapinduzi yanafanywa kwenye press conference au interview? Museven na Kabila walipindua serikali kwenye Luninga?